Recent content by GreenMiracle

  1. GreenMiracle

    Tetesi: Ben Saanane kuna biashara gani unafanya na ubalozi wa Sahara Magharibi na Kundi la TASSC?

    Naamini hii inafanyika kwa sababu tu kila Mtanzania ana haki ya kutoa maoni (Inasadikika)! katika uhalisia sijaona kijana wa Lumumba Buku saba anayeweza kupambana kwa hoja na walau mwanafunzi wa Ben katika siasa (Maana nikisema Ben ni kumshusha heshima)! Hata kama watakusanyika vijana wote wa...
  2. GreenMiracle

    Tukishadadia ukabila na kusutana, umoja wetu utatukimbia

    NAWAZA #MungaiAheshimiwe# TUKISHADADIA UKABILA NA KUSUTANA, UMOJA WETU UTATUKIMBIA "Tunae Joseph Mungai ambaye asili yake ni huku (Kenya) lakini kule kwetu alipewa nafasi nyeti, akawa mbunge hadi Waziri. Tena amewahi kuwa hadi Waziri wa Elimu" - Rais Pombe Magufuli akiwa Kenya. Naamini...
  3. GreenMiracle

    Kilimo cha kisasa cha maembe

    Naweza kupata mawasiliano yao
  4. GreenMiracle

    Denda asubuhi na boyfriend wangu

    Kiafya tunashauri upige mswaki usiku kabla ya kulala, hapo hata ukilamba asubuhi hakuna bakteria wabaya! Jitahidi kwa hilo
  5. GreenMiracle

    Kumbe Dk Hamisi Kigwangalla ana CV ya kutisha!

    Hii CV inamuumbua sana, alizaliwa mwaka 1975, alisoma shule ya msingi.... imetajwa ila hakuna mwaka alioanza na alipomaliza. Inataja alifaulu kwenda O level, hapo pia hakuna mwaka, A level pia hakuna miaka inayotajwa kisaha Chuo kikuu tunaambiwa alimaliza mwaka 2004. Kwa akili ya kawaida tu...
  6. GreenMiracle

    CHADEMA watangaza kuanza operesheni ''Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania" (UKUTA)

    Umeongea kitu kizuri ila siyo sahihi. Kila jambo sahihi ni zuri lakini si kila jambo zuri ni sahihi! Kwa mtazamo wako utaona ni msamiati mpya. Hoja yako kwamba UKAWA haijafanya lolote ni uongo uliovishwa koti jeusi ila ukiufunua unabaki kuwa uongo. UKAWA umefanya mambo makubwa ikiwemo kuongeza...
  7. GreenMiracle

    CHADEMA watangaza kuanza operesheni ''Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania" (UKUTA)

    Nashukuru kwa jibu lenye akili kubwa! Kama hajakuelewa basi atakuwa amedhihirisha kuwa hayuko tayari kuelewa
  8. GreenMiracle

    CHADEMA watangaza kuanza operesheni ''Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania" (UKUTA)

    Una haki ya kusema hivyo maana hakuna anayejua umelenga nini! Ila kama umelenga mendeleo hauwezi kusema hivyo!.... Forever kwa lipi? Miamala ya huduma za bank na mitandao ya simu juu, utalii chini VAT juu, maisha magumu! Forever kwa lipi? Kuwafunga wanaokosoa? Forever kwa lipi???
  9. GreenMiracle

    Zitto Kabwe: Rais Magufuli alienda Rwanda kujifunza jinsi ya kubana Vyama vya Upinzani

    Una haki ya kuwa na wasiwasi maana haunifahamu kama miminisivyokufahamu! Itakuwa ni kazi bure nikijaribu kukukataza usiwe na wasiswasi na elimu yangu! Ila naamini hoja yangu ina nguvu kuliko yako kuhusu mikutano ya siasa! Umekariri kuwa mikutano ni wakati wa kampeni tu ukasahau kuwa maw...
  10. GreenMiracle

    Zitto Kabwe: Rais Magufuli alienda Rwanda kujifunza jinsi ya kubana Vyama vya Upinzani

    Maana yake nenda ukamuulize aliyetoa habari!! LAKINI pia ni muhimu kujua kuwa si kila tukio lazima wajue wanachama (Viongozi) wote! Kuna mengine yanabaki kuwa siri ya idara ya usalama ndani ya chama!
  11. GreenMiracle

    Zitto Kabwe: Rais Magufuli alienda Rwanda kujifunza jinsi ya kubana Vyama vya Upinzani

    Una kila sababu ya kusema hivo ila naamini haumujui Zitto unayemjadli hapa! Haki ya kujivika Ukilaza unayo ila pia haki ya kujivika maarifa (Elimu) ipo kwa mujibu wa Katiba ya JMTZ. Nashangaa sana wanalumumba mnataka kuanzisha haki ya pili katika katiba, (Serikali ina haki ya kuwanya wananchi...
Back
Top Bottom