Nadhani hii ya leo sio kuhusu siasa bali ni michezo.......
Ni kama shabiki wa kijani anasoma gazeti kwa kujificha ficha ili asionekane......
Na pia anasoma habari nyengine badala ya kusoma habari zinazohusu upande wa nyekundu ambazo kimuonekano zimetawala katika gazeti analolisoma
Mkuu sina uhakika na mazingira ya mahakamani lakini kwa uwelewa wangu ni kua huenda kesi ikawa kapuni (kwa majibu wa reaction ya x_yf)
Chengine nasisitiza kwa uwelewa wangu usipokaza unaweza kurudi ulikotoka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.