Recent content by Greda

  1. Greda

    Renatus Mkinga na Mtikila live Star TV: Suala la afya za wagombea laongelewa

    Equal chance IPI unayoizungumzia?mbona ITV wanaongoza kurusha mijadala ya ukawa na si Ccm?au unazungumza equality IPI?ITV wanahabari nyingi za ukawa kuliko Ccm,IPO wapi equality unayouzungumzia?acha mahqba ya siasa.
  2. Greda

    Kero: TBC hamtutendei haki wananchi

    Naomba kusema kuwa mtoa Uzi anapenda kuangalia na kusikia vyombo vya habari vinavyoisifia na kuiongelea vzr Chadema na ukawa,na sasa kumsifia Lowasa kwake ndio weledi.Nayasema haya coz Mara nyingi huwa naona vijana na viongozi wa Chadema wakialikwa ktk mijadala star TV,na wanapewa nafac kubwa...
  3. Greda

    Star TV hamtendi haki

    wewe ukiona sasa Kwa sababu zako,labda ni shabiki wa mavazi ya. watangazaji ila Bernard kilimshinda na hakujiandaa.
  4. Greda

    Star TV hamtendi haki

    Huyu Jamaa si ndio anafanyaga vipindi vya muziki pia?mziki na siasa labda awe Roma mkatoliki au Kala.....hii ndio bongo,kila kitu kinawezekana wadau.
  5. Greda

    BBC watafakari mkataba wao na Star tv ili kuwatendea haki watazamaji wa BBC Swahili

    Wabongo bwana kwa kutoka nje ya mada huwaga hajambo,yaan hapo wte nje ya mada,mtoa mada mwenyewezero,wachangiaji wote akili moja,aliwahi kusema Dr.Slaa kuwa safari ya kuikomboa nchi ni ndefu,mada ni star tv,lakini imeeingia tena ccm,kwa maana nyingine sasa kama mada ingekua itv,basi chadema ama...
  6. Greda

    Dar: Mamba auliwa maeneo ya Kinondoni - Morocco eneo la THT zamani

    Mkuu polisi wamekuja kumchukua wampeleke wapi????wao si ni usalama wa raia?au wakuwa usalama wa mamba tangu lini?
  7. Greda

    Kujibizana na Mh. Rais Jukwaani ni ukomavu wa akisiasa?

    Mh!!!!! haya naona nampigia mbuzi gitaa
  8. Greda

    Kujibizana na Mh. Rais Jukwaani ni ukomavu wa akisiasa?

    We kweli respect wa boda,una ubishi wa kishabiki ambao hata haja zako utadhani umetoka makaburini Rais ni mtu kama wewe? Anajibiwa sehemu yeyote ile?hata chooni? Una akili kweli wewe? Na wewe ndio aina ya wanachama wa CHADEMA typically,mnaochukulia mambo rahisi rahisi tu,na kuona kila kitu...
  9. Greda

    Msigwa mbaroni Iringa, Apandishwa Kizimbani

    Hamkosagi neno,labda aje mungu na malaika zake ndio mtaacha kuquestion
  10. Greda

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza auwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe

    Siyo Kiseke,ni Kisesa,na uache kudandaganya,mimi nimekuwepo hadi anauawa,ninyi ndio mnapotoshaga umma,huo ugomvi huuelewi,na jana hawakwenda kujenga bali alituma vijana kwenda kuweka alama ili kuwatahadharisha wananchi kutofanya shughuli zao ktk mlima huo. Na kama hujui Mabina alikuwa na kila...
  11. Greda

    Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

    Ndio shida ya kufanya vyama kuwa SACCOS,sasa wanachama wanataka hela zao
  12. Greda

    Rais Kikwete anapaswa kujiuzulu sasa hivi

    Ajiuzuru halafu nchi tukupe wewe? Huna akili wewe na unafuata siasa za mkumbo,hujui lolote,looks like umevuta bangi
  13. Greda

    Daraja la Mabatini Mwanza linazinduliwa leo

    SASA maandamano ya CHADEMA toka buzuruga kwenda furahisha yamepata nguvu,wenye magari tutakuwa na nafuu. Na bado watapita hapo juu kila siku,ila mwisho wa siku watasema serikali haijafanya lolote huku wakiwa juu ya daraja
Back
Top Bottom