tofyo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 2,759
- 768
MImi siwezi kuja Lumumba ni sawa na MBWA AU NGURUWE KUINGIA MSIKITINI
kwa hiyo kama msikiti utakuwa ndio lumumba ww utakuwa ndio mbwa au nguruwe?
Kwa huo mfano ulioutoa?
MImi siwezi kuja Lumumba ni sawa na MBWA AU NGURUWE KUINGIA MSIKITINI
Lumumba hatuihitaji wafu; mzoga kama wewe ni wa kutupa hata mbwa mwenye njaa hawezi kujitia shughuli ya kuula
Milioni 17.5 Tsh. Walitaka apewe 21 milion.
Umeulizwa mshahara wa katibu mkuu hapo magambani,kama huufahamu ni siri si useme tu.kiufupi jibu hoja acha kuweweseka!
kwa hiyo kama msikiti utakuwa ndio lumumba ww utakuwa ndio mbwa au nguruwe?
Kwa huo mfano ulioutoa?
Ni volunteer