Tuacheni fitina na majungu, nchi hii ni yetu sote. Ikiwa kuna mtu ana makampuni na halipi kodi afichuliwe tu, hakuna namna nyingine.
Lakini kama anayo na ni mlipa kodi mzuri haina problem.
Awe Lowasa, Jk's son, ma-fish (73),na hata akina vodacom, tigo, airtel, hallotel, ttcl, posta, quality...