Dk. Masaburi ameonesha ukomavu wa kisiasa

masaburi ana stress za ubunge wa ubungo,katumia milioni 400 na kaangukia pua,watu wamekula hela zake bure
 
Kwa tunaomuelewa Dk Masaburi ni mtu makini sana na yupo vizuri sana up-stairs

acha utani ndugu.masaburi miaka yote anajiita dk,aliposikia anagombea na kubenea kwa vile kubenea anajulikana kwa umbea akaogopa kujiita dk.sasa toka lini mtu mzuri upstairs akawa fisadi wa elimu
 
ALIYEKUWA Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Massaburi hivi karibuni alijitoa rasmi kwenye kinyang'anyiro cha kuwaniaUspika kupitia Chama Cha Mapinduzi na bila kutafuna maneno alieleza kumuunga mkono Job Ndugai akisema ndiye kiongozi mwenye sifa.

Lakini pia Dk Massaburi alisema hatua yake hiyo ilikusudia kujenga umoja na mshikamano ndani ya chama hicho ambacho kimekuwa kikikumbwa na migogoro wakati wa uchaguzi unapowadia.

Ndugai (Job) alikuwa Naibu Spika wa Bunge na sasa ameomba kugombea nafasi ya Uspika kwa hiyo katika muktadha huo huo wa kuhakikisha Bunge linakuwa na kiongozi mahiri na mzoefu nitakuwa tayari kumuunga mkono Ndugai ili aweze kushinda nafasi hiyo na kuliongoza Bunge ambalo chini ya Rais Magufuli, Watanzania wote wanahamu ya kuona kuwa anapatikana Spika anayeweza kwenda na kasi ya Serikali ya Awamu ya Tano,? alikaririwa Dk Massaburi.

Kuhusu nini atakifanya baadaye baada ya kujitoa na kumuunga mkono Ndugai, Dk Massaburi alisema anaweza kulitumikia Taifa akiwa nyumbani kwake Chanika na si lazima kuwa Spika au Mbunge kuwatumikiwa Watanzania.

Kwangu mimi binafsi wakati leo Bunge linapata Spika, lakini nimelazimika kumpongeza Dk Massaburi kwa hatua yake hii ambayo ni lazima iwe mfano wa kuigwa kwa wagombea wa CCM na vyama vingine kwa kutong'ang'ania madaraka.

Dk Massaburi kwa kumuunga mkono Ndugai tena kwa kueleza bayana kwamba ana uwezo mkubwa na uzoefu unaotosha katika kuongoza Bunge ni kitendo kinachomdhihirisha kuwa ni kiongozi asiye mbinafsi na anayejali maslahi mapana ya chama chake na nchi yake na si maslahi yake binafsi na familia yake.

Mrudishie hela zake mwenyewe (Masbur) ulizozichukuwa kwa ajili ya Promo, maana wewe nawenzio wachache humu mnazidi kumbomoa badala ya kumjenga!

Pili, hauziki!
-Juzi tu kulikuwa na uzi humu akikandia kuwa ccccmmm ina siasa uchwara!? Soma hapa chini

https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/973077-wanaccm-mmemsikia-dr-masaburi.html
 
ALIYEKUWA Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Massaburi hivi karibuni alijitoa rasmi kwenye kinyang'anyiro cha kuwaniaUspika kupitia Chama Cha Mapinduzi na bila kutafuna maneno alieleza kumuunga mkono Job Ndugai akisema ndiye kiongozi mwenye sifa.

Lakini pia Dk Massaburi alisema hatua yake hiyo ilikusudia kujenga umoja na mshikamano ndani ya chama hicho ambacho kimekuwa kikikumbwa na migogoro wakati wa uchaguzi unapowadia.

Ndugai (Job) alikuwa Naibu Spika wa Bunge na sasa ameomba kugombea nafasi ya Uspika kwa hiyo katika muktadha huo huo wa kuhakikisha Bunge linakuwa na kiongozi mahiri na mzoefu nitakuwa tayari kumuunga mkono Ndugai ili aweze kushinda nafasi hiyo na kuliongoza Bunge ambalo chini ya Rais Magufuli, Watanzania wote wanahamu ya kuona kuwa anapatikana Spika anayeweza kwenda na kasi ya Serikali ya Awamu ya Tano,? alikaririwa Dk Massaburi.

Kuhusu nini atakifanya baadaye baada ya kujitoa na kumuunga mkono Ndugai, Dk Massaburi alisema anaweza kulitumikia Taifa akiwa nyumbani kwake Chanika na si lazima kuwa Spika au Mbunge kuwatumikiwa Watanzania.

Kwangu mimi binafsi wakati leo Bunge linapata Spika, lakini nimelazimika kumpongeza Dk Massaburi kwa hatua yake hii ambayo ni lazima iwe mfano wa kuigwa kwa wagombea wa CCM na vyama vingine kwa kutong'ang'ania madaraka.

Dk Massaburi kwa kumuunga mkono Ndugai tena kwa kueleza bayana kwamba ana uwezo mkubwa na uzoefu unaotosha katika kuongoza Bunge ni kitendo kinachomdhihirisha kuwa ni kiongozi asiye mbinafsi na anayejali maslahi mapana ya chama chake na nchi yake na si maslahi yake binafsi na familia yake.

Ni hiari yake au shinikizo alivyoona upepo ulivyo sii angemuunga mapema
 
Ulitaka asemeje? Si bora aseme haya baadae anaweza kupewa ka wilaya!
 
Hana lolote....kapoteza mahela kibao ubungo....ni wakati sasa amfate mamvi rasmi huko ukiwani....
 
Inawezekana ni chuki binafsi lakini Dk Massaburi ni aina ya kiongozi anayehitajika kwa Tanzania ya leo.

Kama kweli alifanya hivo kwa maslahi ya nchi kwa nini asingempisha mapema mh .Saed Kubenea maana ndiyo aliyekuwa anakubalika. Masaburi siyo mzalendo hata chembe
 
ALIYEKUWA Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Massaburi hivi karibuni alijitoa rasmi kwenye kinyang'anyiro cha kuwaniaUspika kupitia Chama Cha Mapinduzi na bila kutafuna maneno alieleza kumuunga mkono Job Ndugai akisema ndiye kiongozi mwenye sifa.

Lakini pia Dk Massaburi alisema hatua yake hiyo ilikusudia kujenga umoja na mshikamano ndani ya chama hicho ambacho kimekuwa kikikumbwa na migogoro wakati wa uchaguzi unapowadia.

Ndugai (Job) alikuwa Naibu Spika wa Bunge na sasa ameomba kugombea nafasi ya Uspika kwa hiyo katika muktadha huo huo wa kuhakikisha Bunge linakuwa na kiongozi mahiri na mzoefu nitakuwa tayari kumuunga mkono Ndugai ili aweze kushinda nafasi hiyo na kuliongoza Bunge ambalo chini ya Rais Magufuli, Watanzania wote wanahamu ya kuona kuwa anapatikana Spika anayeweza kwenda na kasi ya Serikali ya Awamu ya Tano,? alikaririwa Dk Massaburi.

Kuhusu nini atakifanya baadaye baada ya kujitoa na kumuunga mkono Ndugai, Dk Massaburi alisema anaweza kulitumikia Taifa akiwa nyumbani kwake Chanika na si lazima kuwa Spika au Mbunge kuwatumikiwa Watanzania.

Kwangu mimi binafsi wakati leo Bunge linapata Spika, lakini nimelazimika kumpongeza Dk Massaburi kwa hatua yake hii ambayo ni lazima iwe mfano wa kuigwa kwa wagombea wa CCM na vyama vingine kwa kutong'ang'ania madaraka.

Dk Massaburi kwa kumuunga mkono Ndugai tena kwa kueleza bayana kwamba ana uwezo mkubwa na uzoefu unaotosha katika kuongoza Bunge ni kitendo kinachomdhihirisha kuwa ni kiongozi asiye mbinafsi na anayejali maslahi mapana ya chama chake na nchi yake na si maslahi yake binafsi na familia yake.

Ndio kakutuma umsifie? au unajipenfekeza kwake? Au kujitoa kwake na kumuunga mkono ndugai ni kutafuta fadhila ili afikiriwe na yeye? Maana sasa hana lolote yupo yupo tu. Ubunge umemgomea, uspika hangeuweza hata chembe. Tuacheni kutumika vibaya, huyu jamaa hana uwezo wowote wa kiuongozi.
 
Inawezekana ni chuki binafsi lakini Dk Massaburi ni aina ya kiongozi anayehitajika kwa Tanzania ya leo.

Nina hakika angekwenda kugombea Jimbo lolote mkoani Dodoma angeshinda...maana wagogo ni seti tupu kabisaa na ndio maana milembe ipo kule
 
ALIYEKUWA Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Massaburi hivi karibuni alijitoa rasmi kwenye kinyang'anyiro cha kuwaniaUspika kupitia Chama Cha Mapinduzi na bila kutafuna maneno alieleza kumuunga mkono Job Ndugai akisema ndiye kiongozi mwenye sifa.

Lakini pia Dk Massaburi alisema hatua yake hiyo ilikusudia kujenga umoja na mshikamano ndani ya chama hicho ambacho kimekuwa kikikumbwa na migogoro wakati wa uchaguzi unapowadia.

Ndugai (Job) alikuwa Naibu Spika wa Bunge na sasa ameomba kugombea nafasi ya Uspika kwa hiyo katika muktadha huo huo wa kuhakikisha Bunge linakuwa na kiongozi mahiri na mzoefu nitakuwa tayari kumuunga mkono Ndugai ili aweze kushinda nafasi hiyo na kuliongoza Bunge ambalo chini ya Rais Magufuli, Watanzania wote wanahamu ya kuona kuwa anapatikana Spika anayeweza kwenda na kasi ya Serikali ya Awamu ya Tano,? alikaririwa Dk Massaburi.

Kuhusu nini atakifanya baadaye baada ya kujitoa na kumuunga mkono Ndugai, Dk Massaburi alisema anaweza kulitumikia Taifa akiwa nyumbani kwake Chanika na si lazima kuwa Spika au Mbunge kuwatumikiwa Watanzania.

Kwangu mimi binafsi wakati leo Bunge linapata Spika, lakini nimelazimika kumpongeza Dk Massaburi kwa hatua yake hii ambayo ni lazima iwe mfano wa kuigwa kwa wagombea wa CCM na vyama vingine kwa kutong'ang'ania madaraka.

Dk Massaburi kwa kumuunga mkono Ndugai tena kwa kueleza bayana kwamba ana uwezo mkubwa na uzoefu unaotosha katika kuongoza Bunge ni kitendo kinachomdhihirisha kuwa ni kiongozi asiye mbinafsi na anayejali maslahi mapana ya chama chake na nchi yake na si maslahi yake binafsi na familia yake.

Ndio kakutuma umsifie? au unajipenfekeza kwake? Au kujitoa kwake na kumuunga mkono ndugai ni kutafuta fadhila ili afikiriwe na yeye? Maana sasa hana lolote yupo yupo tu. Ubunge umemgomea, uspika hangeuweza hata chembe. Tuacheni kutumika vibaya, huyu jamaa hana uwezo wowote wa kiuongozi.
 
Mleta mada ulichofanya ni sawa na wewe upakwe mafuta makalio alafu utabiri kuwa unataka kubakwa,sasa huo ni utabiri kweli?
 
Back
Top Bottom