GREATTHINKERDAIMA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 232
- 46
Inawezekana ni chuki binafsi lakini Dk Massaburi ni aina ya kiongozi anayehitajika kwa Tanzania ya leo.
Ndugu!!! umekodishwa kumnadi? mbona unamshadadia sana? kama kweli anafaa Ubungo wangemchagua Kubenea?