Leo ndio nimeona uzi huu ngoja nijaribu
Umri: 27
Elimu : degree
Kazi: Manager McFs
Jinsia: Me
Ndoa: 2021
Location: Pwani
Status: single sina
Ninayemtaka:
Umri : 18- 27
Kabila: sukuma, kurya, muha n.k
Elimu: at least form 4
Mimi nilizifanya nikiwa chuoni UDSM! Nilichofaidi ni mafunzo tu ya biashara na vihela vidogovidogo, niliachana nazo! Nimeshakua mjanja!
Sent using Jamii Forums mobile app
Afande bafeni D COY pale RUVU JKT 2014
Nilikuwa nabust sana kwenye misos, niliwahi kusepa na misos kwenye beseni nkaenda kulia angani halafu nkashindwa kutembea.
Nilikuwa dogger hatari.
Kuigiza mgonjwa wa kudumu.
Kucheza hasa kigodoro.
Madoso Yale hatarihatari.
Chenja.
Jkt raha.
Sent using...
Kazi za kushika pesa ni vigumu sana kuzuia loss! Lakn unaipunguza kwa haya:
1.Funga hesabu Kila siku
2. Rekodi Kila muamala unaofanyika
3.Hyo chuma ulete sina iman kama ipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hyo ww ndo FFFU unayeandika kijinga hivyo? Unayajua maisha ya chuo na Dsm yalivyomagumu pindi mkopo unapocheleweshwa ilihali ni mkataba waliokubaliana? Kenge ww
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlipe vizuri
Mheshimu
Msaidie
Msikilize
Msimamie vizuri, kagua utendaji kazi
Uwepo eneo la kazi kadri uwezavyo
Angalia historia yake ya uaminifu
Hakuna mwaminifu 100%
Akizingua fukuza haraka
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.