Naomba kujua ukweli kuhusu Alliance Global Company

mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
28,599
2,000
Wanasaidia sana hao jamaa,hata Kusaga,Mengi,Mafuruki walipewa mtaji na hio Co. Ya Alliance.

dodge
 

Daxx Shado

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
380
1,000
Ah! just another PONZI SCHEME.

A Ponzi scheme is a form of fraud that lures investors and pays profits to earlier investors with funds from more recent investors. The scheme leads victims to believe that profits are coming from product sales or other means, and they remain unaware that other investors are the source of funds. Waanzilishi wakitosheka wanasepa kimya kimya.

A Ponzi scheme can maintain the illusion of a sustainable business as long as new investors contribute new funds, and as long as most of the investors do not demand full repayment and still believe in the non-existent assets they are purported to own.

The scheme is named after Charles Ponzi, who became notorious for using the technique in the 1920s. Yaani tangu mwaka 1920 kuna ng'ombe zinaendelea kuibiwa pesa zao kwa hii mbinu mpaka leo daaaaah!!!. Na sababu ni ndogo tu - watu wengi wanapenda njia za mkato za kutajirika.

Kwa hiyo hakuna msaada wa kimaisha hapo;it's just another way around - wewe ndo unawasaidia wao.
 

kaboli

JF-Expert Member
May 13, 2015
450
500
Wana slogan' yao inasema 'fake it until you make it. Hivyo tafakari chukua hatua. Lībŕe
 

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
7,309
2,000
Hawa jamaa leo wamempeleka kijana wangu kwenye semina, amerudi nyumbani kichwa kinawaka moto anataka tumpe mtaji wa 500,000 akajiunge.

Ametusimulia jinsi jamaa "
sijui ndiye meneja Global Alliance kwa East Africa" alivyoongea na kuonyesha utajiri alioupata ndani ya miaka mitano.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom