Recent content by Great stone

  1. Great stone

    Zitto Kabwe: Iundwe Tume kwa ajili ya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Kibinadamu awamu ya 5

    Bora ungeenda kunywa ka Bia tu huyu mwehu sio wa kuamini.
  2. Great stone

    Nina miaka 32 nina watoto 7, wa nane yupo njiani (miezi saba)

    Fytua tu Erimu ni bure na ni bure kweri kweri
  3. Great stone

    Dark days 17/03/20

    Duuu this is very deep.
  4. Great stone

    Songea boys, shule kongwe iliyosahaulika

    Mkuu wewe umetuacha na Mzee Mwingira 2007/2009.
  5. Great stone

    Nimemsikia Makamba akijaribu kutisha wabunge kwa kutumia jina la 'Rais Samia' badala ya kueleza udhaifu wake

    Malope ni mwepesi sana, badala astick kwenye majibu ya maswali alioyatengeneza yeye mwenyewe kwa utetezi wake why umeme unakatika katika Yeye anaanza kujitetea eti tatizo ni Waziri na Rais basi wapewe muda kama waliowatangulia si ni wehu huo? Bure kabisa!
  6. Great stone

    Yusuph Makamba akosoa soko kupewa jina la Mbunge Dodoma, asema bora yangeitwa Majina ya akina Mzee Nnauye

    Mwezi Desemba umekuja kumpakulia mshua Minyama nini daah kweli mmerudi wenye chama chenu.
  7. Great stone

    Bei ya Pamba Tanzania imepanda kwa 125% toka mwaka wa fedha 2020/21 - 2021/22

    Wewe Muumini wa data sasa ongea na mwenzio mje na data za bei ya mafuta, Umeme, vifurushi vya mitandao na tozo za mihamala nyie si ni watu wa takwimu. Halafu mtuambie je upande huo na upande wa Pamba wapi Mwananchi anaguswa moja kwa moja na kuyumbisha mfumo wa maisha ya mtu wa hali ya chini.
  8. Great stone

    Bei ya Pamba Tanzania imepanda kwa 125% toka mwaka wa fedha 2020/21 - 2021/22

    Punguza kujipendekeza! How Mama had had played a role kupandisha beiya Pamba ambazo soko na msimu ndio huamu kupanda au kushuka kwake. Takwimu uchwara kutafuta vyeo. Msiba wa awamu hii jiunge na Stivu nyerere tu tujue moja. Huu muda ungeutumia kutafuta walau ka digirii au Masters ingekufaa...
  9. Great stone

    Rais Samia anawezaje kujenga SGR kilometa 1,063 kwa TZS 10.1T na SG kwa TZS 6.55T?

    Ha Hayupo Wizara ya Fedha ata ni Waganga njaa wapya hawa, na usikute ni hawa hawa walikua wanamsifia Marehemu.
  10. Great stone

    Rais Samia anawezaje kujenga SGR kilometa 1,063 kwa TZS 10.1T na SG kwa TZS 6.55T?

    Punguza kujipendekeza mmeanza kujitokeza akina Musiba wa awamu hii. Tumpe muda maana miradi yote iyo hakuna uliokamilika, asilimia moja yq kodi watumishi wamekutana na 2500 kama myongeza nadhani amewapa ya vocha.
Back
Top Bottom