Recent content by GRAYE

  1. GRAYE

    Trafiki wa kike na vimini

    Unalako jambo. Ina maana hakuna sekta nyingine umeona traffic tu. Nenda bank, Tra, na manes Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  2. GRAYE

    Debate kati ya Zitto na Lema.

    Mmmh! Wapiganapo mafahali wawili ziumiazo nyasi Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  3. GRAYE

    Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    Jamani tuweni wastaarabu. Kama huna Jibu la kusaidia unakaa kimya. Mtu kauliza na ameeleweka wengine mnaandika utani, na kejeli.....Mimi mwaya sijui lolote Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  4. GRAYE

    CHADEMA yageuka 'bubu' sakata la Ponda; huu ni usaliti!

    Mkuu HAMY-D ulichouliza ni sahihi nakupa jibu rahisi Rejea Maana halisi ya CHADEMA hapo Mwanzo wakati kinaanzishwa kilikua kinaitwaje na madhumuni yake yalikua nn kabla ya kupumbaza wananchi wenye mawazo finyu na kukiita chama cha demokrasia na maendeleo? Pili Ponda angetoka kaskzn...
  5. GRAYE

    mbinu za afande kova za kushughulikia wahalifu.

    Unajua maana ya dhana ya police jamii, ulinzi shirikishi au umekurupuka kuandika ili ujipatie sifa? Ila nisikulaumu maana uelewa unatofautiana Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  6. GRAYE

    Ajali Raha Leo mto Wami

    Mimi nipo TANGA karibu na mmiliki wa Rahaleo. Habari hizo ni uzushi mtupu pia kuna askari wa usalana barabarani wa pale wami nimesiliana nae amenithibitishia kua hakuna ajali kama hiyo. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  7. GRAYE

    Askari polisi anyang'anywa bunduki smg no.14302551

    Mhhhh. Tuwe wazalendo na nchi yetu. Tusishabikie mambo mengine. Bunduki Kuwa mukononi mwa majambazi ni hatari kuliko mnavyodhan Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  8. GRAYE

    Bibi Harusi afariki Saa moja Kabla ya Kufunga Ndoa

    Mume alimpenda lkn mungu kampenda zaidi. Poleni familia ya wafiwa Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  9. GRAYE

    ni Furaha kumwona Jerry Muro ITV

    Kwahiyo chaajabu ni nini. Eleza ueleweke. Mbona kama unakimbizwa? Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  10. GRAYE

    Ukweli Ujulikane

    Baba uliye mbingu tunakuomba uikubali sala hii. Amen! Amen! Amen! Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  11. GRAYE

    Angalia hii na ujiulize bajeti ya mwenge huwa inaenda wapi?

    Najiuliza na hizi shule za msingi zinapata wapi pesa za kuchangia kama sio wizi mtupu Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  12. GRAYE

    Lukuvi: Chiku Abwao anaganga njaa bungeni!

    Kumbe nawewe umeyaona maneno yao brother. Ngoja tuyaone na kama yangekua mkuki yangeua wengi. Haya 2015 haiko mbali Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  13. GRAYE

    Sakata la bomu arusha; mchawi yupo humo humo chadema!

    Ila nimeamini nchi yetu ina watu wengi wasio na uelewa. Ngoja nijiendee Shamba mie kutafutia watoto ridhiki. Nimechoka kusubiri chama fulani kishike madaraka ya nchi ili maisha yawe bora kwakila mtanzania Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  14. GRAYE

    Sakata la bomu arusha; mchawi yupo humo humo chadema!

    Itakua busara ili tuwe na uhakika na mlipuaji wa bomu hiyo video ya polisi aliyelipua iwekwe wazi ili kila mtu aelewe isiwe porojo tu. Naamini Rais wetu iwapo ataiona hiyo hawezi kuvumilia lazima hatua zitachukuliwa. Natoa ombi kwa mbowe na cdm kwa ujumla pelekeni kopi ya mkanda wenu na original...
  15. GRAYE

    Lukuvi: Chiku Abwao anaganga njaa bungeni!

    IPO siku mtayashika Matumbo maana halitakua tupo la kuharisha wala la kuzaa na maneno yenu mtayakana baada ya kuona hicho mnachokiona sicho kimekua ndicho. Hilo ni jiwe limetupwa kwenye giza hapo wapo wa lukuvi na wa obwao. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Back
Top Bottom