Bibi Harusi afariki Saa moja Kabla ya Kufunga Ndoa

Bibi Harusi afariki Saa moja Kabla ya Kufunga Ndoa

Du sijui hizi imani potofu tutazipoteza vipi watz?
 
Nilichojifunza hapa kwa baadhi ya comment kwamba binadamu hawezi fariki kwenye siku muhimu katika maisha yake kama vile siku ya ndoa au kama ndio ilikuwa anende aka-sign mkataba mnono na akifariki kwenye hizi siku basi ni mkono wa mtu na kama ingetokea amefariki kabla hata ya mipango ya harusi hapo ingekua poa. RIP bibi harusi
 
Mume alimpenda lkn mungu kampenda zaidi. Poleni familia ya wafiwa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mwali Tanga unapasikia au ? haya mambo yenu ya Pwani ukiingiliwa koloni lako unammaliza yeyote
Huyo Mwanaume aseme ukweli alikuwa na nhusiano na mwanamke gani? maana hata km ni Bibi kizee huwa hakiachiki
Namuonea huruma Manka Levina Mmasi MUNGU AMUWEKE MAHALI PEMA PEPONI na awape ujasiri Familia yake kwa kumpoteza Bint AMEN

Doctor amethibitisha alikua na malaria,Unahitaji proof gani zaidi ya hiyo ? kwa mtu kama wewe kila kifo lazima utasema kuna mkono wa mtu,
 
Ujinga huu hata shetani ana mipango....

Huyo labda ni Mungu wako peke yako ambaye anaweza kumchukuwa mama na kichanga siku moja,
Tuondolee upuuz wako hapa, ni ushirikina tu ndiyo unaokusumbua!
 
inasikitisha, pole sana bwana harusi.
 
Doctor amethibitisha alikua na malaria,Unahitaji proof gani zaidi ya hiyo ? kwa mtu kama wewe kila kifo lazima utasema kuna mkono wa mtu,

Unacheza na lucifer ww?anaweza akatumia chochote kukuaminisha kuwa ndicho kumbe sicho!
 
Dah! Kama nakuona ulivyoandika kwa hisia kali, lol!
RIP Levina



Ujinga huu hata shetani ana mipango....

Huyo labda ni Mungu wako peke yako ambaye anaweza kumchukuwa mama na kichanga siku moja, Mungu wangu mimi anawachukia sana binadamu wazembe na wavivu wa kufikiri kama wewe.
 
Doctor amethibitisha alikua na malaria,Unahitaji proof gani zaidi ya hiyo ? kwa mtu kama wewe kila kifo lazima utasema kuna mkono wa mtu,
Mm nilifikiri ni Mwali mtoto wa kiTanga ndiye atakayenielezea au kunijibu maana ya hayo MAZINGARA ya mchumba aliyekuwa akiishi Lindi na kuja kuolewa ghafla Tanga (Kunani) kumbe ni Mngoni mputa wakati sisi tunaamini hawa watu wa huko Ruv**** wewe wape pesa watafikisha lakini sio mwanamke, basi kalaghabaho tusiwaingilie Wafiwa na bdo msiba mbichi
R.I.P. Levina Mmasi na mwanao
poleni wafiwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom