Hakuna kuchoka pambana pambana,, huko unapokimbilia ndo maumivu zaid,, ni moto milele hauend kupumzika,, mimi kwa umri ni mdogo but napambana vibaya yan,, kunakijikaz naweza kukuunganisha 0688419041,, uwe na nia uwezo wa kufanya,, zaidi ya yote jiweke busy kanisan au msikitin fanya kazi flani...