Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,364
- 1,315
Sema kuna kitu kingine bado nina tatizo kidogo kwenye hizi simu zetu pendwa, hivi hizi simu mfano hii ya kwangu tecno c8 hivi hazinaga sens light ? Vile vitaa fulani ambavyo vinawaka utakuta muda mwingine njano nyekundu vile upendavyo kwa ajili ya utambulisho fulani mfano ukitaka kujua kuwa kuna meseji imeingia iwe ya kawaida ,whatsapp,facebook na kadhalika, naomba msinichoke jamani kwa yeyote mwenye kufahamu jinsi ya kurekebisha incase kama ipo na labda inahitaji settings tu.