Recent content by Gratius d4m9

  1. G

    JamiiForums Tanzania KADCO wamefikia wapi wakuu

    Tembelea kwenye website yao washaweka majina
  2. G

    JamiiForums Tanzania Systems Support Technician

    Hii nafasi haina deadline maana mm nimeiona toka mwez wa pili na inarudiwarudiwa kila mara
  3. G

    JamiiForums Tanzania Offer kwa wamiliki wa shule,NGO na Kampuni

    Dynamic pia zipo mkuu just maelewano tuu
  4. G

    JamiiForums Tanzania Offer kwa wamiliki wa shule,NGO na Kampuni

    If you exceed maximum specifications you usually get a notice, but you will not be disconnected unless it is extreme. However, if it is noticed that you go over the bandwidth regularly, you will need to upgrade to the next level for more bandwidth allowance
  5. G

    JamiiForums Tanzania Offer kwa wamiliki wa shule,NGO na Kampuni

    Hatar ya nn mkuu
  6. G

    JamiiForums Tanzania Offer kwa wamiliki wa shule,NGO na Kampuni

    For this offer we are giving 500MB, 40GB bandwidth and we are not limiting Space for database
  7. G

    JamiiForums Tanzania Majina ya kuitwa kwenye usaili Wizara ya Ardhi

    Majina si huwa wanaweka kwenye web ya ajira halafu hata deadline haijaisha mbona
  8. G

    JamiiForums Tanzania WordPress na Joomla templates

    Asante nazotaka ni zile nalipia then niwe na access na template zote sio za kununua mojamoja
  9. G

    JamiiForums Tanzania WordPress na Joomla templates

    Ningependa kujua ni site gani naweza nikanunua templates za wordpress na joomla nyingi na nzur kwa bei rahisi iwe kwa mwaka au unlimited.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyewahi kupata kazi au kuitwa kwenye usaili kupitia Brighter Monday?

    Hivi si mpaka ulipie ndo unaona kama umeitwa au la??
  11. G

    JamiiForums Tanzania Offer kwa wamiliki wa shule,NGO na Kampuni

    Karibuni sasa Offee bado inaendelea
  12. G

    JamiiForums Tanzania Offer kwa wamiliki wa shule,NGO na Kampuni

    Wahi offer hii ni ya muda mfupi uweze kupata website yako kwa gharama nafuu kabisa ya sh 200,000/= tuu. Hapa utapata Static website Domain ya mwaka mmoja Hosting kwa miezi sita Business Email Weka order yako sasa info@grouprinc.com Website : www.grouprinc.com WhatsApp: +255653573232
  13. G

    JamiiForums Tanzania Hosting Space kwa sh 36000 tuu kwa mwaka

    Pata hosting space kwa ajili ya website yako kwa gharama nafuu kabisa ya kuanzia sh 36000 kwa mwaka mzima. Weka order yako sasa Email: info@grouprinc.com Phone: 0742878443
  14. G

    JamiiForums Tanzania Azam Two: Kipindi maalum ajira mpya

    Nimeona kwenye ratiba yao kuna kipindi maalum cha ajira mpya saa Tano na nusu, sasa sijui ni zipi hizo
  15. G

    JamiiForums Tanzania KILIO CHA AJIRA: Ukimya wa Rais Magufuli waleta hofu

    Wanasiasa wanaosema vijana wajiajiri waanze wao kwanza kuaCha kazi ili wajiajiri hii Itakuwa na faida mbili kwanza nafasi yake watapa vijana wasio na ajira pili atakuwa ameweza kuajiri vijana Wengine kwa yeye kujiajiri. Wao tayar wanamitaji Au wanakopesheka waanze kujiajiri waongeze Ajira...
Back
Top Bottom