Gratius d4m9
Member
- Mar 16, 2013
- 62
- 24
Nimeona kwenye ratiba yao kuna kipindi maalum cha ajira mpya saa Tano na nusu, sasa sijui ni zipi hizo
Msitegemee ajira za Serikali muwe wajasiriamali mbona hata kigwangala amesema