Recent content by grammy

  1. G

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kidogo kuhusu ndege (airplane)

    naomba kujua kuhusu concorde, utofauti wake na ndege zingine, usalama wake, na sababu za kuzuiwa kutumika
  2. G

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata join instructions chuo cha ualimu Shinyanga

    Kwa wale wa korogwe, joining tyari wameanza kutuma, chekin email
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha akili: Jibu chemsha bongo hii ndogo kujidhihirisha wewe ni great thinker.

    ok nimekusoma, im coming soon!
  4. G

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata join instructions chuo cha ualimu Shinyanga

    vp kuna aliyepata join ya korogwe?
  5. G

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata join instructions chuo cha ualimu Shinyanga

    ww umepangiwa chuo gani
  6. G

    JamiiForums Tanzania Wale wa korogwe TC 2017

    hatuoni ki2, alafu vp kuna ambaye amepata join?
  7. G

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata join instructions chuo cha ualimu Shinyanga

    watatoa lini na tutatakiwa kuripoti lini?
  8. G

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata join instructions chuo cha ualimu Shinyanga

    wanasema watatuma kwenye email
  9. G

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata join instructions chuo cha ualimu Shinyanga

    ukipata ya korogwe utujulishe
  10. G

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa certificate na diploma is it possible tar 25/9 kuanza masomo?

    Habari zenu wadau? Kwa kuchelewa huku kwa confirmation na joining instructions kwa wale waliochaguliwa na baadhi ya vyuo, je kuna uwezekano wa kuanza masomo tar iliyopangwa 25/9?
  11. G

    JamiiForums Tanzania Vyuo vitoe joining instructions na confirmation mapema ili tujiandae

    Wadau habari zenu? Hongereni wale mliochaguliwa kozi mbalimbali na NACTE, imetangazwa vyuo vinafunguliwa tarehe 25/9 lakini joining instructions bado. Tunaomba wazitoe mapema ili tupate muda wa kutosha kufanya maandalizi.Thanks
  12. G

    JamiiForums Tanzania Kuchaguliwa kwa diploma na certificate kutoka Nacte

    just imagine 1400 applicants competiting 130 slots in a single college, it rise pressure as peoples wait for selection Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom