Bombardear
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 241
- 193
nipe link kwani nimezitafuta hazionekani kabisazilizopo kwenye wizara ni za mwaka 2016 kama zitakusadia sema nikupe link
nipe link kwani nimezitafuta hazionekani kabisazilizopo kwenye wizara ni za mwaka 2016 kama zitakusadia sema nikupe link
http://moe.go.tz/index.php/sw/publications/category/42-joining-instruction-maelezo-ya-kujiunganipe link kwani nimezitafuta hazionekani kabisa
Hiyo taarfa umetoa wapiSayansi wote ni bure muongozo kutoka wizarani.
ww umepangiwa chuo ganiKuripoti vyuo ni lini jamani?
vp kuna aliyepata join ya korogwe?Bado sijapata
Ukifika nachingwea nitafute mkuu kwa namba hii 0621038900NACHINGWEA LINDI
Nimepangiwa lindi cotcww umepangiwa chuo gani
Utakuwa na Mdogo wanguNimepangiwa lindi cotc
Aaah yupo mkoa gani kwa sasa?mimi nipo mbeya,na je hivi kuripoti itakuwa lini mkuu?Utakuwa na Mdogo wangu
Yupo Mbeya nae.. Kuripoti Bado Sijajua Ila wa second year tar7/10Aaah yupo mkoa gani kwa sasa?mimi nipo mbeya,na je hivi kuripoti itakuwa lini mkuu?
Ulipataje mkuuMimi nimepata lugalo military medical school
Dah kama ni tarehe 7 kwa second year,basi first year itakuwa kabla ya tareh 7 sio?Yupo Mbeya nae.. Kuripoti Bado Sijajua Ila wa second year tar7/10
Umeckia wapi kiongozi?nasikia science teachers collegue wamepandisha ada 2m per year
Sijajua mkuuDah kama ni tarehe 7 kwa second year,basi first year itakuwa kabla ya tareh 7 sio?
niaj mkuu, je?,nyie taarifa mlopata mnaanza lini kuripoti mkuu(cotc mafinga)Nimepangiwa lindi cotc
Bado cjapata feedback yoyote coz joining instructions badoniaj mkuu, je?,nyie taarifa mlopata mnaanza lini kuripoti mkuu(cotc mafinga)