Recent content by Gracie Joe

  1. G

    Mapenzi ya Kitapeli

    Huku ninakokaa, kulikuwa na mkaka mmoja mchakarikaji alikuwa anapika chips; hivi karibuni kabadilisha banda la chips kuwa kanisa. Nafikiri akifanya miracle chache atanunua kiwanja cha kujenga kanisa kama la Kakobe. Wee cheka tu, mwenzio anakamata shekeli
  2. G

    Mapenzi ya Kitapeli

    Kwenye mapenzi kuna ukamanda........
  3. G

    Mapenzi ya Kitapeli

    Wana respect privacy ya mama yao, she has a right to be happy; she can date anyone as long she is happy. And now she has a right to be miserable as long as her misery does not affect others. She made her on mess...... Ila inasikitisha sana
  4. G

    Mapenzi ya Kitapeli

    Hahah, naona kanisa sasa ni dili la haraka la kupigia pesa. Mtaji wake unatakiwa uwe ka sh ngapi hivi nami nianzishe
  5. G

    Matokeo ya form 2, 2015

    Dark City Jana mwanangu ananipigia, anasema mama nimepata GPA ya 5 nikasema ama kweli ni BRN hadi form two majibu yanakuwa in form of GPA Mzima lakini Babu DC
  6. G

    Mapenzi ya Kitapeli

    Inasikitisha sana, hata hao police fake itakuwa dili la huyo serengeti boy wake
  7. G

    Nauza nyumba Kigoma

    Vizuri, basi ukisikia mtu anatafuta nyumba nistue. Niko Kigoma kwa week moja
  8. G

    Nauza nyumba Kigoma

    Sijui mkuu, mimi si dalali na wala sihisiki upande wa ardhi. Ninauza kilicho changu tu ili nianze maisha kungine
  9. G

    Nauza nyumba Kigoma

    Kina haki mkuu, mimi sio dalali na kiukweli sipendi kuwahusisha madalali
  10. G

    Asha Bakari aanguka ghafla Dodoma

    isije ikawa ebola
  11. G

    Nauza nyumba Kigoma

    Small world huh.... Owkey, nitwangie basi ili nami nikufahamu halafu nikwambie nilipohamia.
  12. G

    Nauza nyumba Kigoma

    Nani mwenye nyumba au mdada wa kwenye picha?
  13. G

    Nauza nyumba Kigoma

    Thanks wewe ni dalali?
  14. G

    Nauza nyumba Kigoma

    Wewe kweli ni mwenyeji,, barabara ipo na inapitika siku 365/6, nilikuwa na kigari mfano wa vits na kalikuwa kanapanda tu bila shida. Kiwanja ninacho pia, maeneo ya juu ya Kigoma secondary, ni Low density pia kiko mlimani. ukinipa 10 mil nakuachia.
Back
Top Bottom