Nauza nyumba Kigoma

Nauza nyumba Kigoma

attachment.php

Hapa ni kwa nyuma au?

Nyuma ipi?
Ya Nyumba au ya Mtu?
 
hahahahaaaaaaaaaaa jamani mgao tena? umenishekesha sana best oky tusubirie huo mgao nami usinisahau katika huo mgao wa tegeta escrow
ASANTE SANA KWA KUNI NOTE HII KITU, HUYU NAONA NI JIRANI YANGU HAYUKO MBALI SANA MAANA NAMI NIKO MJI MWEMA HAPA KARIBU NA TANK LA MAJI NEAR WAZEE WA USALAMA, SHIDA NI HAYO MAPESA KWA KWELI ILA HAYA MAENEO NI MAZURI SANA YANA VIEW NZURI SANA, HATA ILIPOJENGWA COSTAL VIEW NI PAZURI SANA, UNALIONA ZIWA VIZURI, NA UUMBAJI WA MWENYEZI MUNGU. SHUKRANI SANA, BUT PESA HIYO SINA LABDA NIKIPATA MGAO WA TEGETA ESCROW BILION 200,
THANKS KWA TANGAZO Gracie Joe
 
Huenda tunajuana aisee, mitaa ya Faith ulikuwa unapitia pitia? As you say eneo ni zuri sana hadi mwenyewe nauchukia umaskini otherwise ningeshusha mjengo wa nguvu. Ningepata mganga wa kunisaidia kuziiba hizo pesa za ESCROW ningefurahi mpaka basi.
 
hahaaa hapana .. sidhani kama tunajuana, hiyo mitaa sijawahi pita kabisa, ila naishi hapa mji mwema nina kma miezi 9 hivi tangu nije mkoa huu.
 
Kama ni miezi 9 hatujuani, mitaa hiyo nimeacha kwenda miaka 3 iliyopita. Anyway karibu sana Kigoma, mimi nimekaa huko over a decade so naweza kujiita muha ingawa sio.
 
Dark City, nasubiri kwa hamu simu yako, it occured to me that you real know how to live your life, grilling migebuka na mbuzi was one of my passtime during weekends na zaidi kwenye mikesha ya Xmas na mwaka mpya. Tena master bedroom ina balcony yake na mlango wa kutokea nje, so you can sip your drink at night while looking at town center na taa za wavuvi usiku. Kwakweli napamiss sana, I wish ungepata nafasi ya kupaona usingefikiria mara mbili.
 
Last edited by a moderator:

Nitakuwa Kigoma mwanzo mwezi ujao na nitafika nipaone.

Niko serious kweli!
 
Nyumba nzuri,lakini maeneo baadhi ya mji mwema gari haifiki hasa zile pande za kuelekea Magereze na Kigoma Secondary kwenye ule muinuko wa shule.
Najua mji mwema ni mji Ghali sana na watu wa UN wengi wamepanga maeneo yale.
Miji mipya mizuri ni Mji Mwema,Burega na Kibirizi.
Mji mwema naujua kila kona,maana nimesoma Kigoma Sekondary,na mitaa hiyo ndio njia zetu za kupita short cut ili kutokea mwanga kwa mchaga au pale shule ya Katubuka.
Imejengwa kwa tofali za kuchoma au hizi za cement(blokkoo),maana mkoa huo Tofali za kuchoma ni ujenzi wa nyumba nyingi sana.
Mie nitafutie kiwanja Kibirizi au Mji mwema upande wa Hilltop,yaani upande wa pili wa Kigoma secondary kuelekea Katonga fishing Village
 
Wewe kweli ni mwenyeji,, barabara ipo na inapitika siku 365/6, nilikuwa na kigari mfano wa vits na kalikuwa kanapanda tu bila shida.

Kiwanja ninacho pia, maeneo ya juu ya Kigoma secondary, ni Low density pia kiko mlimani. ukinipa 10 mil nakuachia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom