Recent content by gracemakirembe

  1. gracemakirembe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza wa maisha wa muda

    Aiseee! Kwanini usisaidie ndugu zako kwa hela zote hizo?
  2. gracemakirembe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania wanawake wa humu majanga

    Hii ngumu kuamini. Kweli mtandaoni kuna mengi...
  3. gracemakirembe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania JamiiForums imenipatia mke mwema

    Grow up!!
  4. gracemakirembe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutokusex nae on our first dating, kumemfanya anikimbie!

    Huenda hakua na shida ya hilo tendo ila kuna kitu alikiona hapo kwako siku hiyo hakikumvutia. Hiyo ni good riddance maana yake penda unapopendwa!
  5. gracemakirembe

    JamiiForums Tanzania Nimepima UKIMWI naambiwa majibu yana utata nirudi baada ya mwezi vipi kuna usalama kweli?

    Mhh! Sasa hiyo 'saikolojiko tocha' mtu unakua nayo mwezi mzima wanaifikiria? Mi naona heri upime na kwengine upate uhakika maana huo mwezi wa kusubiria utakua mgumu kwako sababu kucha utakuwa unawaza
  6. gracemakirembe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashukuru jukwaa la MMU kwa kunipatia mchumba

    Lumbe inawezekana ehh! Hongera sana kijana.
  7. gracemakirembe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume Wafanyakazi Wanavokufa na tai shingoni! chezea white collar job!

    Unataka kumwambia kwajili imsaidie nini? Utaonekana kituko aisee. Men dont tell on each other. It is a code of friendship plus haitakusaidia wewe lolote ukishasema. Then what? Labda wataachana afu mshikaji unampoteza sababu atajua wewe ndio ulimuharibia. Au labda dada atakusikiza afu amwambie...
  8. gracemakirembe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ameline:Namshukuru Mungu amenipa twins wa kike!

    Napenda sana kuzaa twins. Hongera sana Ameline. Nakutakia uzazi mwema na pia malezi mema ya watoto
  9. gracemakirembe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eti ukifanya hili imekula kwako!

    3. Ukitaka kuoa Mwanamke msomi, Oa mwanamke alie someshwa na Wazazi wake. Kwanini?
  10. gracemakirembe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume ni yule ambaye

    Kweli teknolojia imetubadilisha. Ati saivi kuweka au kutokuweka password kwe.ye simu ni kigezo! Kiruuuuu:eek:
  11. gracemakirembe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho; baada ya kukataa mahari ya binti yao

    Pole kwa yote. Nahisi kinachoongea hapo ni hisia ulizonazo kwasasa ambazo zimechanganyika na hasira, disappointment na mengineyo. Umechagua vyema sana ukisoma utapeleka msisitizo masomoni na kusahau kirahisi zaidi. All the best
  12. gracemakirembe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii na dada zetu

    Sasa kama mtu humjui hata sura huifahamu...kwanini wakubali friend request? Uta-add hadi majini. Kuwa makini
  13. gracemakirembe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wa mtu huyu mbona haniachi jamani?

    Mi naona umeshagundua hilo ni tatizo kwahiyo una uwezo wa kuamua kulitatua. Unaweza kuanza kubadilisha utegemezi wako juu yake. Ujione upo single ufanye mambo yako peke yako. Huenda pengine kwa kukusaidia kifedha umekua mtumwa wake. Socialize na marafiki wengine maana kwa kujumuika na wale wa...
  14. gracemakirembe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada! Ndoto za x zinamsumbua

    Hii ni dalili za spiritual husband. Lishugulikieni kiroho.
  15. gracemakirembe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sipendi wanaonionyesha sehemu zao nyeti kwenye Skype

    Usiadd watu usiowajua mamii. Wengine ni mapepo kabisaa! Kuna wanaume wanafikiri wanawake wanavutiwa na hizo picha.
Back
Top Bottom