Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
ana jini huyo ndo lina mdo awe anasali
Vere truu god dont want divorce iyo laana itamtafuna sana aangalie uwezekano warudianetell her that she still need that man... and she don't know if she need him...
Vere truu god dont want divorce iyo laana itamtafuna sana aangalie uwezekano warudiane
miss chaga nawewe bwana,nimeipenda avatar yako.niko jinja mama kwa wiki moja halaf narudi kampalaha ha ha ha ukapotelea wapi bwana?
kabisa kabisa kurudiana ndo tiba la sivyo atafanywa usiku mpaka basi
asante mkuuu kwa kupenda avatar yangu...sawa mkuuu kwenye watoto weusi angalia usije vizia usikumiss chaga nawewe bwana,nimeipenda avatar yako.niko jinja mama kwa wiki moja halaf narudi kampala
ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaa umenivunjja mbavuasante mkuuu kwa kupenda avatar yangu...sawa mkuuu kwenye watoto weusi angalia usije vizia usiku
washaaachana kuna haja ya kuchepuka hapo au ni mwendo wa "Timiza ndoto yako"Au kama vp achepuke tu...
ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaa umenivunjja mbavu
Anamuwaza sana hakuna lingine, halafu inaelekea rafiki yako ndiye mwenye makosa au alichangia kwa kiasi kikubwa katika utengano wao.Kuna rafiki yangu aliachana na mume wake yapata miezi nane sasa tangu watengane,lakini rafiki yangu huyu ni wa kike anasumbuliwa sana na ndoto yakuwa anajiwa na mr wake huyo tena akiwa anashiriki tendo la ndoa je afanyeje ili hii ndoto iache kwani kila mara inamjia.
Anamuwaza sana hakuna lingine, halafu inaelekea rafiki yako ndiye mwenye makosa au alichangia kwa kiasi kikubwa katika utengano wao.
Ndio maana hamtoki mawazoni mwake, wenyewe wanasema huwezi kujua umuhimu au thamani ya ulichonacho hadi kikutoke
Miezi nane bado hajachelewa mwabie rafiki aamke kabla hawajazaa kiumbe huko ndotoni na huyo jamaa.
Mwambie rafiki aache kujitesa coz ndoto za aina hii zitamfanya awe mnyonge na kutojiamini tena. Pia asipokua makini zitamrudisha nyuma sana. Sisi tunasonga mbele yeye atakua anapiga makitym kama tulivyokua JKT
Hizi ni ndoto za watoto wanaobalehe au kuvunja ungo ambao hawawezi kujikontrol wala hawajui jema na baya.
Mwambie kuna njia mbili
1.Moja ya kumtafuta Mungu kwa hali yoyote ile akiwa mgonjwa au mwenye afya,mwenye furaha au huzuni,amependeza au hajapendeza,akiwa na Imani kubwa au ndogo,muislam au mkristo
2.Ni kumtumikia Ibilisi a.k.a shetani(satan) na kazi zake zote
Mwambie achague moja kati ya hizi mbili akiwa kama mtu mzima mwenye akili zake timamu
Kila lakheri
Mwanakijiji,
Kuna njia mbili kuu za kuifanya serikali na wananch wafaidike na na hii miradi (Kwa kuongezea tu na ile ya community development):
1. Mineral Benefication - Serikali ingepigania sana mineral benefication. Hili hata Mkapa alisisitiza sana. Sijui hiyo mikataba ina sisitiza nini. Katika migodi hii ya dhahabu imefahamika kuna copper nying sana inauzwa through agent wa barick gold Australia as mineral concentrate, na hawa wazungu wanasema hawana facilities za kuchambua Tanzania. Na wataalamu wetu feki hawa waki-Tz wanaona tu.
2. Tangu mwanzo zingewekwa clauses kwenye mikataba kuwa baada ya muda fulani Serikali husika inunue shares au wananchi/communities/ indigenious companies wanunue shares.
Kwa kuwa hatujui mikataba imeandikwa nini, hapa ni pa-gumu.
Hata huko uarabuni (nci ulizotaja)ni hawa hawa westerners ndiyo waliowekeza, lakini refineries katika nchi hizo zimeshikiliwa pamoja na aidha wenyeji au serikali au watawala, kampuni kama Aramco, Kuwaiti Oil, etc. Hawa jamaa kutokana na mapato yao hayo wameweza hata ku-control Citibank (the largest bank in the world).
Suala hapa siyo ubaya wa ubepari, ni mikataba yetu, upimbi wetu, it happens only in Africa. Usilaumu dobi, kaniki ndiyo rangi yake!!
mda mwingi anafikiri kuwa mlevi
Hapo ngoja hebu mwambie anitumie number zake za simu kuna dawa.....Kuna rafiki yangu aliachana na mume wake yapata miezi nane sasa tangu watengane,lakini rafiki yangu huyu ni wa kike anasumbuliwa sana na ndoto yakuwa anajiwa na mr wake huyo tena akiwa anashiriki tendo la ndoa je afanyeje ili hii ndoto iache kwani kila mara inamjia.