Recent content by Grace glory

  1. Grace glory

    Nina msongo wa mawazo, maisha hayana maana kwangu, msaada wa mawazo

    Ndio hakuna mungu,muweza wa yote,mwenye upendo, na mpenda watu mwenye kupenda amani, labda hili niliweke sawa unielewe.
  2. Grace glory

    Nina msongo wa mawazo, maisha hayana maana kwangu, msaada wa mawazo

    Kwanza unachotakiwa kujua nikwamba hakuna mungu, ili uepuke issue ya utegemezi kwamba kuna kitu kitakupa msaada, haya maisha hayana Mambo ya kuamini yanamambo ya uhalisia na ndio maana hapo ulipo unajua umefilisika na sio unaamini ,,,,,kingine huyo rafiki yako sio kwamba mchungaji amemsaidia...
  3. Grace glory

    Nifanyeje? Mpangaji mwenzangu amekuwa ombaomba sana mpaka kero

    Kiswahili Ni kigumu kufafanua ila nilitaka nikueleze kuwa wewe Ni mchoyo Sana aisee kama sio muongo, asubuhi,mchana,jioni, (kibaruani)
  4. Grace glory

    Ukitaka kuwa mtu mwenye Nguvu juu ya ulimwengu huu usifanye mapenzi

    Sayansi ya kiroho Ni Nini? Tuanzie hapo mkuu
  5. Grace glory

    YESU ni jina la uzima, uponyaji, na ushindi juu ya giza

    Yesu kristo mwana wa mungu wa yakobo mungu wa Elia mungu wa Ibrahim,🤣🤣🤣 Ni noma
  6. Grace glory

    Mke wangu amebadilika baada ya kupata dada wa kazi (house girl)

    Sasa mdada wa kazi alikuwa wanini? Miaka sita anasota mwenyewe then miezi mitatu anapumzika we unaona wivu, cha msingi hizo issue za kudhurura kaa nae ongea nae.
  7. Grace glory

    Naombeni msaada kwenye hili

    Walikuwa Bado hawajapata mototo, jamaa alikaza Hadi Leo, maana jamaa siku hiyo aliongea mengi sana Hadi kusema alitoa mimba yake
  8. Grace glory

    Hivi ni kweli kuwa Kuna pesa za kishirikina?

    Pesa mbona nikitu ambacho kipo na unaweza kukishika? Na pesa inayotumika kwa mf tz lazima iwe na sign ya gavana!!! Hao washirikina wenye pesa zao waziitaje?
  9. Grace glory

    Nini chanzo cha utajiri unaompa kiburi kijana CHIEF GODLOVE MWAKIBETE?

    Hana pesa nyingi sana ila anajua kubet, odds 3 anatia million, akipiga mara 7 anakuwa ana sh ngapi kwenye odds 3×100000?
  10. Grace glory

    Waislamu wanaamini Wakristo hawaendi Mbinguni na Wakristo wanaamini waislamu hawaendi Mbinguni. Vita ni kali sana

    Yesu ni njia yakwenda mbinguni, Ila chakushangaza uislam ni dini ya haki na ni dini ya mwenyezi mungu, Sasa ukitaka kuwaweza waambie hakuna mungu , wataungana kukusema weeeeeeee, ala chorus, wapigie Yesu ni Mungu, afu ondoka verse ya pili watapiga wao
  11. Grace glory

    Naombeni msaada kwenye hili

    🤣🤣🤣Mbaya sana hiyo Bora kwa mwanaume sio kwa mwanamke aisee ningumu kumshawish mwanaume alieamua kufanya jambo lake.
  12. Grace glory

    Naombeni msaada kwenye hili

    Ilikuwa ni aibu balaa 😂
  13. Grace glory

    YESU ni jina la uzima, uponyaji, na ushindi juu ya giza

    Hadhara Ni wapi alihubir hadharani?
Back
Top Bottom