Mr. Truth!! Bei ya Mkaa itapanda maradufu, EWURA yaomba kupandisha bei ya umeme kwa asilimia 18, Wanafunzi 30,000 wakosa mikopo vyuo vikuu, Benki X yafilisika, Bunge halina fedha za kurushwa LIVE.
Nchi inabana matumizi, ziara ya Mkuu wa Mkoa "LIVE", Bombardier Zanunuliwa, Nchi ya Viwanda...