Ushauri kwa Serikali juu ya elimu bure

Ushauri kwa Serikali juu ya elimu bure

gr8 masae

Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
6
Reaction score
1
mm naona serikali inapoteza pesa nyingi kusomesha asilimia kubwa ya wanafunzi wasio na moyo wa kusema.Elimu bure ililenga kuwasaidia watanzania wa kipato cha chini ambao walishindwa kusoma kutokana na kukosa ada bila kuchunguza kwa undani kama je wana moyo wa kusoma?!..mimi naona huko cyo kuwasaidia kwasababu mwanafunzi anasomeshwa bure anashindwa kufaulu halafu anaishia papo hapo..serikali inafaidikaje na huyu mwanafunzi waliyemsomesha bure?!
ushauri wangu ni kwamba serikali kwa kutumia hyo pesa ya elimu bure wajenge vyuo vya VETA ata kimoja au viwili kwenye kila Wilaya na kuwasomesha vijana bure ambao baadae watakuwa na uwezo mkubwa wa kujiajiri tofauti na hawa wanaopata zero kidato cha nne.
 
Back
Top Bottom