Recent content by govindah

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Crabat!! Seif!! As prezidaa of....znz. No... re election first
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Hapa kazi tu. Matokeo hayo hayatakuja kama muujiza ndugu.. Kama kiongozi hizo ziara za maofisini ni sehemu muhimu ya kazi zake. Viva J.J.P.M. Tanzania's dream president !
  3. G

    JamiiForums Tanzania Vladimir Putin; Terrorism quotations'

    Russian bear is furious
  4. G

    JamiiForums Tanzania Hata Brazil walifungwa 7 na Germany

    Haiwwzekani tufungwe magoli yote hayo.... Jecha njooo futilia mbali haya matokeo.
  5. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sifurahii kuwa 'single woman', sijui nifanyeje

    If you're not a couple, you can't adopt officially.
  6. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Biblia: Dawa thabiti ya mapenzi

    Bujibujiiii
  7. G

    JamiiForums Tanzania Halotel: Itatoboa kwa vodacom, airtel, tigo,ttcl?

    Kama ni 3G ngoja nitafute line yao fasta... itanifaa sana nikiwa shambani kwangu. The place I love to be, to cool, to relax
  8. G

    JamiiForums Tanzania Halotel: Itatoboa kwa vodacom, airtel, tigo,ttcl?

    Kumbe wao ni 2g...wenzao wapo na 4g. Nahitaji internet ya uhakika nikiwa kijijini kwangu,lkni sio 2g...
  9. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tupeane mbinu za kuishi na mwanamke mgomvi kwenye ndoa

    Pole, hii case inanikumbusha case ya rafiki yangu, nae mke wake alikuwa na tabia na mienendo kama hiyo. Na siku moja aliondoka na kuchukua kila kilicho chake. Huwezi kuamini baada tu ya wiki moja akampigia simu mshikaji eti anataka kurudi. Jamaa yangu akamwambia kaa huko huko ntakuja kukuchukua...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Nani kampa Lowassa Cheo cha 'Kiongozi Mkuu wa UKAWA'?

    The dramatist Edo....second split decision maker/swift mind very sharp. But he is aging so fast. Ndoto zake za kuwamiliki waTz zimeyeyuka oooh!
  11. G

    JamiiForums Tanzania UGALI unaitwaje kwa Kingereza/Kimombo?

    Waingereza hawana ugali nduguzanguni. Ugali ni ugali tu.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Piere Nkurunzinza sasa ashitakiwe ICC

    Nchi hii imejaa umasikini na njaa, vichwani mwao ni kuuana tu. Kagame katoa hisia zake moyoni... je, anachokiongea kina ukweli ndani yake? Je, yeye ni msafi?
  13. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Walengwa nawasubiri bado.
  14. G

    JamiiForums Tanzania Neno moja kwa Mchungaji Gwajima

    Ngwajima aliongea na hisia zake binafsi, alichemka mbaya. Wanadamu tupo hapa tulipo leo ili kujifunza. Ngwajima kapata somo sasa atakuwa mtu bora zaidi ya alivyokuwa awali.
  15. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Habari zenu wanajf. Nahitaji mwanamke umri kati ya 30~34. Elimu yake chuo, aweamejiajiri au kuajiriwa.
Back
Top Bottom