Nani kampa Lowassa Cheo cha 'Kiongozi Mkuu wa UKAWA'?

ALWATAN KIZIGO

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
539
642
Jana kupitia chombo kimoja cha habari niliona taarifa yao ya habari ikimuonesha aliyekua Mgombea urais aliyeshindwa ndugu Edward na viongozi wengine wa UKAWA kina Mbatia na wengineo wakijadili mustakabali wa Zanzibar. Lakini cha kushangaza ni pale alipokua anazungumza Edward wakaandika kwamba ni kiongozi wa UKAWA.

Mimi ninavyojua kiongozi wa UKAWA kwa maana ya Mwenyekiti ni Freeman Mbowe sasa haya ya Jana ni mapya kuysikia. Kwa Hali hii Mbowe ajiandae kuachia ngazi ya uenyekiti wa CHADEMA katika uchaguzi wao mkuu ujao.
 
Kwahiyo wewe unataka Mbowe ajiuzulu kwakuwa Lowasa aliongea? Ulitaka nani aongee?
 
Mkuu, kabla haijanunuliwa na Edo, UKAWA ilikuwa ikiongozwa na Mbowe pamoja na wenyeviti wenza. Kwa sasa hali ni tofauti, jamaa kainunua kwa pesa nono, hivyo kina Mbowe ni watumishi wake
 
Kwani ukawa ni chama ?ninavyojua mimi ukawa ni kikundi cha wapumbavu na malofa wasiojua malengo yao..labda awe kiongozi mkuu wa cdm hapo sawa
 
UKAWA ni pesa yako tu ukiwa na pesa waweza kuwa chochote shida ni kwa akina Slaa wasiokuwa na hela.
Nilichoshangaa ni Lowassa kuvunja katiba ya Zanzibar na kuingilia mambo ya ndani ya Zanzibar kwa kuitisha kikao Tanzania bara kujadili mambo ya zanzibar wakati akijua ile ni nchi yenye katiba yake na tume yake ya uchaguzi.

Anavyoona wengine tumenyamaza anafikiri ni wajinga.Migogoro ya ndani ya nchi ya Zanzibar itamalizwa na wazanzibari wenyewe.Uchaguzi unaolalamikiwa ni wa Raisi wa Zanzibar na wajumbe wa Baraza la wawakilishi.Lowassa yanamhusu nini kama sio chokochoko kwa Zanzibar? UKAWA ni muungano usiokuwa wa kisheria na haupo kabisa kisheria.Hivyo hata wakitoa tamko ni NULL and VOID sababu linatolewa na chombo ambacho hakiko kisheria.

Lowasa akae mbali na mambo ya nchi ya Zanzibar awaachie wenye nchi yao sababu yeye si mzanzibari wala Mbatia wala Mbowe hawana kitambulisho cha mkazi wa zanzibar na wala si wapigakura wa kuchagua Raisi wa Zanzibar wala mwakilishi wa baraza la wawakilishi zanzibar.Mambo ya Uchaguzi wa Raisi wa Zanzibar na baraza la wawakilishi wawachie wapiga kura wa Zanzibar wanaotambulika kisheria sio wao akina Lowasa.Wakome kabisa.
 
Hela aliyota Lowasa ni ndefu sana katika kuinunua chadema kwahiyo lazima apewe kuwa kiongozi mkuu wa chama tu.
 
Ukawa ni maz.uz..hawaelewi wanafanya nn, et edo kiongozi mkuu, au mwandishi wa itv alikosea kumpa hicho cheo au kwa makusudi sijui, ila wote kuanzia alieriport mpaka hao viongozi akili kama mfalme juha..

Nasikia wanampango wa kutoa tamko j2, kuwa hawataki kwenda mjengoni... ili kuilazimisha serikar, naona wamesahau kuwa huu ni utawara wa Rais makufuri.... wasifanye majaribio ya kumpima mzee DR,
 
Ukawa ni maz.uz..hawaelewi wanafanya nn, et edo kiongozi mkuu, au mwandishi wa itv alikosea kumpa hicho cheo au kwa makusudi sijui, ila wote kuanzia alieriport mpaka hao viongozi akili kama mfalme juha..

Nasikia wanampango wa kutoa tamko j2, kuwa hawataki kwenda mjengoni... ili kuilazimisha serikar, naona wamesahau kuwa huu ni utawara wa Rais makufuri.... wasifanye majaribio ya kumpima mzee DR,

We gamba yan ww ndo juha wala hujutambui . Kama vile nakuona hapo Lumumba unavyopiga miayo na bado.
 
Kwani ukawa ni chama ?ninavyojua mimi ukawa ni kikundi cha wapumbavu na malofa wasiojua malengo yao..labda awe kiongozi mkuu wa cdm hapo sawa

Hivi unajua ulichokiandika hapo kumbe familia yako nao ni malofa wasiojijua manake wote ni wana ukawa.
 
Ni wakati kwa Chadema kuiga katiba ya ACT ili kumpa Lowassa cheo cha Ayattolah
 
Back
Top Bottom