Recent content by Gotora Frank

  1. G

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akutana na Diamond na Mshindi wa BBA Idris

    Hapo Wema nadhani wanatamani sana kama angekuwepo na yeye Nadhani pia mkuu wa kaya atamhusia namna ya kuishi na Zari Hahhahaah kidding
  2. G

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Hawa wazee nahisi kuna tatizo hapa
  3. G

    JamiiForums Tanzania Heshima kitu cha bure tumheshimu Raisi wetu

    Hatakuwepo tena madarakani
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kikwete atunukiwa PhD nyingine Mandela University - Arusha

    Ninachokijua mimi ni kwamba hicho Chuo ama vyuo wanaweza kuzifuata ama kukunyang'anya hizo PhD zao Hivyo akijitokeza mtu akakipa somo hicho Chuo ama vyuo hivyo ni dhahiri watazifuata hizo PhD zao kwa jamaa
  5. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Is G spot a myth?

    Guess what? It does exist and it situated about 1- 1.5 inches inside her vagina, direction upward (right below her bladder). Many women find G-spot stimulation being somewhat more powerful than Clitoral. Ila pia kuna A-spot Deep- spot and U-spot
  6. G

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete kuhutubia Taifa kama alivyohutubia Bunge la Katiba, Hakuna jipya

    Dah Wakuu Nimeshindwa niamini lipi Mara Rais ameghaili hivyo ataongea tar 22 ambayo ni J3 Coz kwa sasa yupo Arusha Mara Rais yupo Dar tena kuna kikao ambacho ni hot Juu ya Pinda Mara Rais ataongea kama alivyoahidi Sasa wakuu plz ipi ni ipi?
  7. G

    JamiiForums Tanzania URAIS 2015: Pinda Vs Lowassa

    Rais ajae huenda akatokea mkoa wa Mara Aidha kijana mmoja wa Mwl Nyerere Ama awe Wasila
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini NASA hawakurudi tena mwezini?

    Mkuu kweli? Hebu mwambie jamaa
  9. G

    JamiiForums Tanzania Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

    Ndiyo mkuu coz I know nothing for sure
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini NASA hawakurudi tena mwezini?

    Nani amewahi kwenda makumbusho ya Taifa Opposite na Chuo cha IFM? Kuna mawe yalitolewa na Serikali ya Marekani kwa Tz Nani amebahatika kuyaona? Je ulisoma na maelezo yake?
  11. G

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa CCM imelazwa chali mkoa wa Mara

    Mkuu mimi nadhani wewe ni mwenyeji wa hizo sehemu ulizozitaja Ndiyo maana wala hata sijaguna wala kubisha! Coz hayo ndiyo maeneo yako Ila na mimi huku ni mwenyeji Na ni maeneo yangu pia
  12. G

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa CCM imelazwa chali mkoa wa Mara

    Mkuu musoma mjini na BUNDA sio mkoa wa Mara rafiki bali hiyo ni sehemu tu ya mkoa wa Mara Mie nipo Nyamongo wilaya ya Tarime Je huku sio Mara? Na je huku hakuna CCM kushinda? Nadhani ulipaswa kutaja hizo sehemu ulizozitaja kuliko kusema mkoa wa Mara Au sio mkuu?
  13. G

    JamiiForums Tanzania Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

    Mbona wengine ni kama wapitaji?
  14. G

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa CCM imelazwa chali mkoa wa Mara

    Mtoa hoja mkuu huo sio ukweli Mkoa wa Mara?????
  15. G

    JamiiForums Tanzania Ashinda shindano kwa kula nyama choma Kg 1 kwa dakika 2

    Nilikuwepo kwenye eneo la tukio jamaa alikuwa anatumia mikono yote miwili
Back
Top Bottom