Kuhamishia serikali Dodoma ni jambo nzuri lakin hizi safari za kila sku za maafisa waandamizi kutoka Dodoma kwenda Dar barabaran shangingi zinapishana tu dairly ,,expenses zinakuwa kubwa maana tunawawekea mafuta na kuwalipa night allowance kwasababu siszo za msingi
Am just thinking in louder mode..ni Raisi wa namna gani tunamhitaji Tanzania,, maana kila tunayemchagua mwanzoni anaonekana bora kuliko wote baada ya mda kidogo anaonekana hafai kuliko wengine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.