Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Ni matumaini yangu kwamba mambo yanaenda vizuri,safi bila mushkeni.
Watanzania tuchape kazi, Mh Rais wetu, Dk Magufuli kawa maarufu sana duniani kutokana na misimamo yake ya kubana matumizi, maamuzi mazito na issue ya mkazo kwenye ukusanyaji kodi.
Juzi kuna wazungu kadhaa kwenye mtandao wa "Wechart na LINE",nilishuhudia jamaa wakimjadili rais wetu kwq mazuri. Wanasema ana roho ngumu ya kulipeleka Taifa mbele. Haongozwi na mitandao ya kijamii.Ye kazi kazi.
Ndugu zangu tumtumie vizuri huyu Rais wetu. Tutoboe na fursa zilizopo kwa kumtumia huyu mheshimiwa, anapendwa sana.Maana tumepunguza kuomba omba kama zamani.
HAPA KAZI TU.