Gososi Gawene
Member
- Mar 17, 2017
- 7
- 3
Am just thinking in louder mode..ni Raisi wa namna gani tunamhitaji Tanzania,, maana kila tunayemchagua mwanzoni anaonekana bora kuliko wote baada ya mda kidogo anaonekana hafai kuliko wengine.
Si hadi aifuate, kukiwa Na katiba mpya Na katiba mpya ikapuuzwa utafanyaje....hatutaki RAISI Mzuri.Tutafute KATIBA NZURI. Hii ndio ITAKAYO MTENGENEZA Raisi Mzuri!