Recent content by Google Diggers

  1. Google Diggers

    Kuna mwenye uelewa na postgraduate diploma msaada

    Naitwa Google Diggers. Nina miaka 31 Nina degree ya Sanaa yaani bachelor of arts na nina stashahada ya masuala hayahaya ya Sanaa. Kifupi ni Political sciences. Nataka kufanya post graduate ya IT Je inaweza ikakubalika?? IT imejaa science na mimi science niliifanya o level pekee Msaada wa Mawazo
  2. Google Diggers

    Wakuu je kipo chuo kikuu naweza kujiunga hii Januari?

    Nimepagawa na maisha nirejee shule Msaada
  3. Google Diggers

    Alama ya herufi "M" kiganjani

    Kuna maisha nayaona Kwa kweli nakubaliana, kwenye upande wa akili, kichwani pangu si haba, lakini pia usirogwe unidanganye. Nina nguvu ya macho nilitaka mwanamke nikimtazana Kwa namna ya kumvuta, kukazia flan nikimuita atakuja na appointment itaoangwa na nitakula. Kasoro yangu Sina nidhamu ya...
  4. Google Diggers

    Tanga - Usiku Wa Manane

    Duh
  5. Google Diggers

    Tanga - Usiku Wa Manane

    Duh
  6. Google Diggers

    Mliokutana na mauzauza katika ujenzi wa nyumba, naomba msaada wa hatua mlizochukua

    Jirani mmj alinijibu utumbo nilimtafakari Sana. Ilikuwa katika kujadil changamoto za mtaa, akaongea povu Moja nikaona huyu ni gele tu. Wivu na shombo yaani usimuamini MTU katika maisha yako
  7. Google Diggers

    Waelezeni watoto hatari na uwezekano wa kufanyiwa vitendo viovu na watoto wenzao

    Nikiwa mdgo sikumbuki Umri lkn nakumbuka matendo waliokuwa wakifanyiana watoto. Sijui Kwa nini nilikubali kuvutwa na katoto lakini kalinizidi Umri kidogo akanivua bukta na kuanza kunilawiti Kwa kweli hakina kitu inaniuma kama Hii kumbukumbu. Uwa nakutana naye na ana watoto wa kike na amemuoa...
  8. Google Diggers

    Vitu gani kwa wengi ni vya kawaida ila kwako sio vya kawaida

    Bora wewe unajielewa. Watu utadhani watapewa urithi na kiinua mgongo. Nikirudi kwenye hoja. Namchukia Sana MTU akiongea na simu akijua na mm nimepokea naongea Sasa inakuwa kama zogo. Siwez kupokea simu mbele za watu. Kwanza sipendi simu kuongea ongea au Kupiga pigia pigia watu. Kwa kifupi...
  9. Google Diggers

    Ubikira Wangu

    Aidha ana bwawa au Mzee ana penseli
  10. Google Diggers

    Ubikira Wangu

    Tumia neno viumbe. Wale sio binadamu. Alijitahidi kujitunza huyu mdada. Wifi yake (mama yoyo) alizaliwa hukoooo kijijin miaka hiyo alipass pekeake kwenda shule Moja pedwa ya wasichana. Nilipokutana naye mashine ilikuwa tyt Sana. Mkurungeyeye ukizama ukitoka inauma ukiingiza inauma. Mashine...
Back
Top Bottom