Recent content by Goodrich

  1. Goodrich

    JamiiForums Tanzania Mavazi ya RC Makonda yazua utata akipokea salamu ya kijeshi

    Itifaki
  2. Goodrich

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kumgonga mzembe na kukimbia ni sahihi au sio sahihi?

    Kweli wewe ni Evil Spirit
  3. Goodrich

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haji Manara alistahili kufukuzwa Simba kitambo

    Inasikitisha sana. amepata umaarufu kupitia uwekezaji na jitihada za Mo. Halafu anautumia umaarufu huo kutangaza bidhaa za wafadhili wa Yanga. So unfair
  4. Goodrich

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bundi katua Msimbazi

    Kuna mambo muhimu ya kujiuliza 1. Je, alijua hayo alipoenda kuomba pikipiki za kampeni kwa MO ? 2. Je, angepewa pikipiki na misaada mingineyo angeongea hayo ? 3. Je, huu ndio mtindo wake wa uongozi ? 4. Je, anayetakiwa kununua au kulipia hisa ni MO peke yake ? 5. Na, kwanini mtu mwenye dhamana...
  5. Goodrich

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bundi katua Msimbazi

    Kuna mambo muhimu ya kujiuliza 1. Je, alijua hayo alipoenda kuomba pikipiki za kampeni kwa MO ? 2. Je, angepewa pikipiki na misaada mingineyo angeongea hayo ? 3. Je, huu ndio mtindo wake wa uongozi ? 4. Je, anayetakiwa kununua au kulipia hisa ni MO peke yake ? 5. Na, kwanini wakati huu muhimu wa...
  6. Goodrich

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri katika Ufunguzi wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) - Uwanja wa Jamhuri, Dodoma (Agosti 29, 2020)

    Magufuli ana kazi ndogo sana. Kazi alizofanya zinambeba na ndio zinakibeba chama. Kampeni za mwaka huu ni nyepesi sana. Muhimu kuhakikisha uchaguzi wa kistaarabu ie huru na haki.
  7. Goodrich

    JamiiForums Tanzania Je, Paul Makonda anapendelewa?

    Quote BBC Swahili
  8. Goodrich

    JamiiForums Tanzania Sakata la Makontena: Makonda azua balaa bandarini

    Tamaa mbaya sana
  9. Goodrich

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda avamia Clouds Media na kuwatisha SHILAWADU

    Alitumia fursa vibaya
  10. Goodrich

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanaishi Nchi ya Uchumi wa Kati?

    https://allafrica.com/stories/201806150112.html
  11. Goodrich

    JamiiForums Tanzania Mfalme Mzee Yusuph amethibitisha kurudi kwenye taarabu

    NEWS ALERT: MZEE YUSUF AACHANA NA MUZIKI Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Goodrich

    JamiiForums Tanzania Pesa hutoka wapi!?

    Swali zuri. Nitaeleza kwa ufupi. Utengenezaji wa fedha ni jambo la kihistoria, na lina historia ndefu. Kabla ilikuwa biashara ya kubadilshana, baaae ikaonekana kuna umuhimu wa kuhifadhi thamani ya huduma na vitu. Katika hilo dhahabu ilitumika ilitumika zaidi wakati huo, ie ukitoa huduma au kuuza...
  13. Goodrich

    JamiiForums Tanzania Nina $ 23,000 ila sijui biashara gani inanifaa

    Nimepitia uzi wote. Mawazo yaliyotolewa mengi ni mazuri, japo mengine hayana uhalisia. Kila biashara hata mlizoziona hazifai zina matajiri wake au watu wanaozifanya kwa mafanikio. Hivyo, unaweza kufanikiwa katika biashara yeyote endapo; 1. Unaipenda na una nia na aina hiyo ya biashara (Penye...
Back
Top Bottom