Je, Paul Makonda anapendelewa?

Je, Paul Makonda anapendelewa?

Makonda aliomba msamaha wa kodi kwa makontena hayo na kukataliwa na Waziri wa Fedha wa Tanzania Dk. Philip Mpango ambaye kwa mujibu wa sheria za nchi hiyo ndiyo mwenye mamalaka ya kuamua nani ama nini kipatiwe msamaha wa kodi.
mbona unakanganya?mara useme makonda ana tuhuma za kutaka kutoa makontena bila kulipa kodi,halafu unasema Makonda kaomba msamaha kanyimwa
Kuomba msamaha wa kodi ukinyimwa sio jinai,ni process tu
 
Anaetafutwa si Makonda bali Makonda ni stepping stone ili kufika kwa mlengwa.Hata Makonda akiondolewa leo kelele za mbwa mwitu vis mwanakondoo zitapazwa zaidi.
 
Mimi namkumbuka J Edgar Hoover huyu alikuwa Mkurugenzi mtendaji wa FBI amehudumu kwa kipindi kirefu sana kwa cheo hicho hakuna Director aliemfikia Hoover kwa kukaa muda mrefu FBI tena at top level, Makao makuu ya FBI yamepewa jina Lake J Hoover building, Kuhudumu kwa muda wote huo sio kwamba jamaa alikuwa smart sana hapana ni kuwa na Siri nyingi za watawala wa muda huo Yani Marais Hivo walihofia sana kumtengua mpaka akazeekea apo FBI
 
mbona unakanganya?mara useme makonda ana tuhuma za kutaka kutoa makontena bila kulipa kodi,halafu unasema Makonda kaomba msamaha kanyimwa
Kuomba msamaha wa kodi ukinyimwa sio jinai,ni process tu
Process ni nini?
 
Back
Top Bottom