Jamani ma brother na ma sister na viumbe vyote vilivyo hai kwa ujumla niwaambie tuu kwa ufupi hakuna kinacho tokea asicho kijua BABA MUUMBA ila niwaambie tuu ana zuia vingi visi tokee ila huwezi kuona kwasababu alisha zuia kabla vinavyo tokea na vilivyo tokea ameacha viwe fundisho sio kwaajili...
Kwanini ku muua mwanaume mwenzako kama umeoa malaya au kazimika mwenyewe au haumpi shoo inayo takiwa una tegemea nini sasa acha tumpe raha bhana acha u binafsi mzee ...
Jamani nimepeta mawazo mapya mengi nawa shukuru sana ngoja ni ganga male kiume kuna mtu kanishauri nirudishe majeshi nirushe tena ndowano!! Ili ku mpima imani huenda ana nipenda yeye na wenge lake akataka kuni zungusha.
Naomba kuuliza tuu jamani kuna jambo limenikuta na linanikera sana.
Kuna mdada nilimwonyesha kumpenda na akajua nampenda kwenye kumwalika ili tuongee nimwage sera zangu, alinata sana nikachoka kuona hajali kabisa, nikaachana na habari hizo.
Sasa cha ajabu amekuwa kero kwangu anaongea maneno ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.