Recent content by Goodluck C Mwinuka

  1. Goodluck C Mwinuka

    Chadema yailiza ccm

    Haki huwa haipotei bali hucheleweshwa tu.
  2. Goodluck C Mwinuka

    CCM waumbuka Mwanza

    Hongereni enyi wajameni.
  3. Goodluck C Mwinuka

    Mhariri Mtendaji wa Uhuru aliyetimuliwa atinga semina ya TANAPA

    Sasa afanyeje ssm yako ndiyo iliyo tufikisha hapo,yy ulitaka afanye nini?
  4. Goodluck C Mwinuka

    CHADEMA Tunduma ni kama maji

    Mr Mark pole saaaaana.
  5. Goodluck C Mwinuka

    Kinabo wa CHADEMA tishio Kibaha Vijijini, arudisha rasmi ya fomu ya ubunge leo!

    Nawakumbusha kupiga kura na kulinda kura zetu,nilikuwa kwenye mkutano wa kujitambulisha watia nia wa Chadema hapa Songea mjini mc alisema uchaguzi ulio pita tulilinda kura tukiwa mita 40 wakatuibia safarii hii ni hatuwa 4 kuroka kwenye kituo.
  6. Goodluck C Mwinuka

    Kwanini sitapiga kura

    Hugu gujinga kweli,tatizo gunajuwa kusoma na kuandika tu,ndo sera zamajitu mapumbavu kama haya,jitu kama hili ndo likienda bungeni utasikia ndiyooooooo gunalala mikaaaaaa halafu gunasema naunga mkono hoja 100%
  7. Goodluck C Mwinuka

    Kata ya Mazimbu Morogoro, CHADEMA mnaingiliwa

    Chadema kuweni makini piga kura ns muilinde kura yenu.
  8. Goodluck C Mwinuka

    Padre Mapunda, huyaoni haya mazuri ya Kikwete?

    Padre Mapunda yy kazi yake ni kusema ukweli,na ndiyo misingi yake,huwa hawaogopi kusema ukweli na ndo maana watu kama hawa husifiwa na mimutu kama ya ccm akisha kufaga ndo maana yanajifanya yanamuenzi mwalimu huku yanaiba lasilimali zetu kila siku.
  9. Goodluck C Mwinuka

    Nani kugombea urais 2015 Tanzania kupitia CCM?

    Mtoa maada mwenyewe umesha choka,unatuletea yaleyale,inaelekea mleta maada umesha lipwa buku 7 halafu utu letee yaleyale wa tz si huko tulishatoka kitambo!!!
  10. Goodluck C Mwinuka

    Mbozi: Makada wa CHADEMA watwangana makonde kugombea nafasi ya uwakilishi bungeni

    Acheni usisim wenu nyie,habari gani za kuchafuana hizo hiyo ndo tz kuchafuana tu,utalipotije kishabiki hivyo mambo ambayo kwanza hayakuhusu,pili ni uwongo kwa nini wapigane wewe ni ssm achana na mambo ya chadema 100% hayakuhusu ksma jimbo hilo ni la chadema wacha wachukuwe tu,usionewivu na ussm...
Back
Top Bottom