Padre Mapunda, huyaoni haya mazuri ya Kikwete?

Kuna watu humu duniani wanajifanya vihelehele sana, namzungumzia wewe unayejiita Padre JOHN BABPTISTE MAPUNDA kwanza ujue unamkosea Mungu maana umeihasi kazi alokupa ya kuchunga kondoo za bwana kwa kuhubiri Injili na sio kuhubiri siasa, sasa huoni aibu hiyo?

Sisi waumini wako tunakushangaa sana maana uchungaji tena hufanyi, unakula sadaka zetu za bureeee, wewe kazi yako kuhubiri siasa kupitia gazeti la wachumia tumbo hilo Mwananchi! Sasa ebu tuweke sawa kwamba wewe ni MWANASIASA ama MCHUNGAJI WA KANISA?

Kumbuka sababu ilokufanya ukafukuzwa kule kwa Wamisionari ni kwasabu ya kihelehele chako na kujifanya kuwa mjuaji wa mambo mengi, Nyau weeeee, kama uchungaji umekushinda hami siasa nawe utangaze nia ya kutaka urais au hata ubunge!

We are tired of you! Kila kukicha unaandika povu tu.

Utakuwa umetoroka Milembe wewe! PADRE na MCHUNGAJI it is like apple and orange! Go back to the drawing board.

Wewe ndiye MPUMBAVU nambari wani, kuendelea kumpelekea sadaka wakati unafahamu kwamba anakula sadaka za bure.

Halafu tunashangaa kwanini Tanzania bado ni nchi masikini, kama viongozi wa CCM ndiyo nyinyi!
 
HUYU padre sio mnafiki kama yule aliyekula maharage......mimi ni mkatoliki haswa kati ya mapdre ambaye napenda sana mahubiri yake ni padre mapunda....CCM haiwapendi yule msema kweli.
Acha kutoa povu wewe, huyo sio mchungaji ni mwanasiasa anayeganga njaa tu a.k.a mchumia tumbo
 
Utakuwa umetoroka Milembe wewe! PADRE na MCHUNGAJI it is like apple and orange! Go back to the drawing board.

Wewe ndiye MPUMBAVU nambari wani, kuendelea kumpelekea sadaka wakati unafahamu kwamba anakula sadaka za bure.

Halafu tunashangaa kwanini Tanzania bado ni nchi masikini, kama viongozi wa CCM ndiyo nyinyi!
Wewe sakala sana baba yako na wewe ndo mliki bia milembe ndo maana unaandika povu tu na kutetea wanafki hao kama ulivyo wewe na hao wazee wako, bata weee
 
Gwamaka aswile, wewe ndiyo msafi wa kumkosoa father Mapunda? Gwamaka aswile wewe ni mtu wa kuogopwa kama ukoma kwa sababu za kutetea waovu, wanaothibutu kuliangamiza taifa la Tanzania. Wewe inaonyesha ni mmoja wao, yaani ni mwizi na mpumbavu, usiye na mwelekeo. Maana kama ungekuwa na mwelekeo usingewasema vibaya watumishi wa MUNGU. Hayo yote uliyoyaandika una uhakika nayo kwamba yapo? Mimi sasa hivi nipo muhimbili na hali ya hapa ni mbaya wagonjwa wamelazwa chini, hospitali haina hata panadol, ndiyo hospital ya taifa. Wewe utakuwa na tb ya ubongo na siyo Padre Mapunda, Padre Mapunda yupo sahihi kwa asilimia 100%, Labda nikueleweshe jambo moja, kwenye masilahi ya taifa,nchi, watumishi wa MUNGU wanahusika kwa 100% katika kuleta uongozi bora, maendeleo na uchumi, pia ulinzi na amani. Sasa wanapoona kiongozi husika anakosea ni wajibu wao kumweka sawa na kama aelekei basi wanawatumia wananchi ndiyo wenye dhamana ya kumweka au kumtoa madarakani, na hiyo ndiyo maana ya neno kutoka kwenye kitabu cha Rum 13:1-4. kwamba mamlaka zote zimewekwa na MUNGU, na wao wanamwakilisha MUNGU. Sasa wewe gwamaka unataka watumishi wasifanye kazi yao? wewe gwamaku kweli ni muuaji, unachangia wengine wasiitambue haki yao.
Acha kuweka povu wewe mchumia tumbo! Unamtetea kwani kakuoa yeye? Acha wehu kama unahitaji awe mmeo sema
 
Padre mapunda huyaoni haya!

Mwanzoni mwa mwezi huu wakristo wote hapa nchini waliungana na wenzao duniani kote kwa kushsherekea sherekea sikukuu ya pasaka kama kumbukumbu ya ufufuo wa bwana yesu, karibu viongozi wote wa dini walihubiri amani na upendo na mshikamano pamoja na kuvumiliana katika dini.

Akiongoza ibada zote mbili ya ijumaa kuu na Pasaka katika Kanisa Katoliki la Manzese jijini Dar es Salaam, Padri Baptiste Mapunda alikuwa tofauti na viongozi wenzake yeye alihubir uchochezi uaasi na chuki akiwahimiza wafuasi wake kuiasi na kuichukia serikali iliyoko madarakani kwa sababu mbali mbali alizoziona yeye kwa akili yake na macho yake.

Huo ndio wivu mbaya kabisa alionao kiongozi huyo wa kiroho unaokwenda sambamba na chuki, fitina za malengo ya kisiasa, majungu na uchonganishi unaolenga kuwapandikizia hasira za uasi wananchi ili kukidhi matakwa yake mwenyewe na wapambe wake.

Anafanya kila anachoweza ili wafuasi wake wa kiroho wamfuate pia katika itikadi zake za kisiasa na chuki zake kwa Rais Jakaya Kikwete, CCM na Serikali ya Awamu ya Nne.

Sitaki niaminishwe kwa namna yoyote kuwa mahubiri yake hayo ni agizo la Kanisa Katoliki kutoka popote, hivyo nitabaki naamini katika moyo wangu wote kwamba hayo ni matakwa yake mwenyewe ya kisiasa na siyo ya kiroho na hata vinginevyo.

Ni ajabu kwa padri kusimama katika altare kanisani na kusema uongo huku akiwa ameshika Biblia Takatifu, lakini pia ni dhambi zaidi kuhubiri uzushi unaolenga kuwachonganisha watu ili wafarakane kwa namna yoyote.

Baadhi ya maneno aliyoyaongea padre huyo ni kama ifuatavyo “ Ni miaka kumi sasa inaelekea kuisha tangu serikali hii ilipowaahidi watanzania maisha bora kwa kila mtanzania, lakini ndio kwanza watu wanalia kutokana na ugumu maisha”? Pia padre huyo anahoji juu ya mauaji ya walemavu wa ngozi na vikongwe, anahoji kwa nini tangu serikali ya awamu ya nne ilipoingia madarakani kumekuwepo na hayo mauji haswa katika kipindi cha kuelea uchaguzi mkuu.

Badre wanaouwa ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi na bibi na babu zetu vikongwe ni sisi waumini wenu na hapo inabidi mjiangalie viongozi wetu wa dini je mmeshindwa kutuhubiria injili na kutupa chakula cha kiroho mpaka tukapendana na kuacha mambo ambayo hayapendezeshi mungu.

Na mtawezaje kutuhubiria upendo wakati mwaishi maisha ya kifisadi na kutufanya misukule ya kutoa sadaka ambazo zinawafanya mtukanane na kupokonyana waumnini, viongozi wa dini imefikia hatua mnavunja mpaka ndoa za watu badala ya kuzijenga imefikia hatua watu hawaoni hata umuhimu wa kwenda kanisani an msikitini,

Binafsi nilisikitika sana baba Paroko Mapunda kuanza kuzaa vazi la wanasiasa katika madhabahu ya dini, nilijiula maswali haya yafuatayo, huyu pandre amekuwa agent wa vyama siasa au mwanaharakati au la kwa maana hata ukisoma makala zake katika magazeti hajulikani yupo upande gani

Labda nimkumbeshe padre mapunda kuwa maisha bora si kuwajaza pesa wanachi ili waje kujaza vikapu vya sadaka hapo parokiani, padre mapunda amekuwa aiksafiri mara kwa mara kwa njia ya ndege na usafiri wa barabara hajaona tofauti ya viwanja vyetu vya ndege miaka kumi iliyopita na sasa?

Padre mapunda huoni ongezeko la wanafunzi wa elimu ya juu na secondary ambalo limesababisha kuondolewa kwa neon la kuchaguliwa neon ambalo lilisababisha baadhi ya wanafunzi wetu wengi kukosa nasi za kuebdelea na masomo hali yakuwa walikuwa na uwezo darasani?

Hebu jaribu kwenda hospitali ya taifa ya Muhimbili ilivyo leo ipo sawa na enzi za marais kina Mwinyi na Mkapa, leo tumefikia kuwa na madaktari bingwa kadhaa ambo huko nyumba hatukuwa navyo, hospitali zetu leo zimekuwa na vifaa ambavyo tulikuwa tunaishia kuviona kwenye tv, huyaoni haya yote

Padre mapunda kwanini wajitia upofu wa kutoona mafanikia ya Dr. Jakaya Mrisho kikwete hebu angalia hali ya mawasiliano nchini mwetu ambapo serikali ya awamu hii imeunganisha mawasiliano mikoa na wilaya pamoja na tarafani mpaka vijijini hali ambayo haikuwepo huku chuma.

Naamini umri wangu na wako huenda tukawa sawa au umenizidi kidogo sana padre wangu hukumbuki tulipokuwa tunasoma chini miembe na mikorosho ambapo ikitokea mvua tu darasa linakufa paapo hapo katka enzi zile mwalimu haliyakuwa kaptura zenu zikiyaonyesha makalio yetu, hukumbuki enzi zile tunatembea zaidi ya kilometer kumi na tano kwenda shuleni tena pekupeku? Je leo yapo hayo kama yapo kwa asilimia chache sana naweza kusema ni zero point

Padre Mapunda hebu vua hiyo miwani ya mbao uone watumishi wa serikali leo wanavyoishi maisha yenye staha tofauti hata na wakati wa mwalimu ambaye umekuwa ukimtolea mifano mara kwa mara.

Leo hii hakuna tena tatizo la kufata mshahara kwa siku tatu au zaidi mabenki yamesambazwa wailaya zote za Tanzania au hujui pia kwamba waweza kutoa pesa zako za mshahara kutoka account yako mpaka kwenye simu yako kiganjani we padre huyaoni hayo au uchochochezi tu.

Padre huoni aibu kujisahaulisha eti yakuwa enzi za mwalimu hakuwa na migomo, mbona padre wangu wakuwa mrongo ingwa sipendi kulitumia kina hilo utaniwia radhi lakini ukweli humuweka mtu huru, lalda nikikumbushe kti kimoja wakati fulani enzi za mwalimu kulitokea mgomo Mzumbe Morogoro mwalimu alikwenda kuonana na wale wanafunzi na kuwauliza tatizo lao.

Wanafunzi ladba kutokana na changamoto za ujana walianza kumuorezeshea mwalimu matatizo yao ikiwemo chakula sio kizuri wanaishi kama jela, wanalala kitanda kimoja wawili wawili na mabo mengi tu

Badada ya mwalimu kuwasilikilaza aliwajibu hivi “ mnaonaje wengine wakienda kumpumzika nyumani ili vitanda na chakula kiwatoshe watakaobaki mpaka serikali itakapopata pesa ya kununu chakula kizuri na vitanda vingine pamoja na magodoro ili muishi kama nyumbani badala ya kuishi hapa kama jela, matokeo yake wanafunzi wote wakanywea. Padere hukumbuki migomo ya chuo kikuu ya cha Dar es Salaa akina Msekwa

Padre mapunda mauaji ya vikongwe au watu wenye ulemavu wa ngozi haukuanza leo hapa nchini umesasahau mauaji ya vikongwe wa shinyanga ndio yaliyomfanya rais msataafu wa awamu ya rais Mwinyi kujiuzulu alipokuwa waziri wa mambo ya ndani miaka ya sabini, mbali na Mwinyi alijiuzulu pia aliyekuwa waziri wan chi ofisi ya waziri mkuu Peter Siyovelva pamoja na wakuu wa mikoa ya Mwanza na Shinyanga akiwemo Peter Kisumo.

Padre mapunda umesahau mauaji na uchunaji ngozi yaliyokuwa yanatokea jijini Mbeya wakati wa serikali ya awamu ya tatu ya rais Benjamini Mkapa au wakati huo ulikuwa wapi hatukukusikai kukemea haya unayoyakemea sasa?

Mwisho labda nikuasae padre wangu usione waumini tupo kimya hatupendi mahubiri yenu ya kueneza chuki katika jamii, tunajua kuwa wewe na wakala wa Chadema na ukawa kumbuka sisi waumini wako ni wa vyama vyote unakuwa haututendei haki unapoisakama serikali yetu kwa mambo ya uzushi.:mimba:
Padre Mapunda tuelemishe maana wewe umepakwa mafuta,ndani mwaka hakuna chembe ya unafiki,ndio wewe u mwalimu.Kristo alichukiwa wakati wa kutoa elimu....hawa ni wale wanaonufaiki na ufisadi...huko muhimbili hali ni ya hatari sana.Hawa wapuuzi ukionyesha kujua basi watakupachika ukawa,chadema.Upumbavu tu,tulinyimwa elimu kwa makusudi ili tutawaliwe na hawa viroboto,Tanzania ya sasa siyo ile ya mwaka 47,niko tayari kushika bunduki kuondoa dhuluma popote pale.
 
MUHIMBILI IPI ILIYOBOREKA MIMI NAFUTILIQ OPERATION KIBOFU CHA MKOJO TOKA MWAKA JUZI HAO MADACTARI BINGWA WaKO WAPI KAMA SI UONGO.
Umeshaoza wewe mwehu nenda kalale huko unaandika ujinga mtupu hapa
 
Anakesi ya kujibu huyo mlawit.ti watoto

Unafiki ba chuki dhidi ya dini ya raisi ndio vinamsukumaa huyo padiri

Unajua sheria ya mtandao itakuhusu? Una ushahidi wa padre huyu kulawiti watoto? Kwanza mleta mada mwenyewe ana chuki nzito kwa padre Mapunda, huyu padri namfahamu na mahubiri yake almost nayajua, hapendi mambo ya ovyo ni muwazi.
Wangapi humu wanatetea mafisadi, wezi, wala rushwa, wazembe? Anayesema au anayechukizwa ndio anageuka mbaya!
Labda kama Fr. kawa kichaa jana, lakini nijuavyo huwa anakemea uovu live bila kujali umetendwa na nani, rais yupi, dini ipi. Nimekuwa muumini wake wa muda mrefu tu hivyo najua mahubiri yake, huyu mwandishi anaweza akawa na yake
 
Padre mapunda huyaoni haya!

Mwanzoni mwa mwezi huu wakristo wote hapa nchini waliungana na wenzao duniani kote kwa kushsherekea sherekea sikukuu ya pasaka kama kumbukumbu ya ufufuo wa bwana yesu, karibu viongozi wote wa dini walihubiri amani na upendo na mshikamano pamoja na kuvumiliana katika dini.

Akiongoza ibada zote mbili ya ijumaa kuu na Pasaka katika Kanisa Katoliki la Manzese jijini Dar es Salaam, Padri Baptiste Mapunda alikuwa tofauti na viongozi wenzake yeye alihubir uchochezi uaasi na chuki akiwahimiza wafuasi wake kuiasi na kuichukia serikali iliyoko madarakani kwa sababu mbali mbali alizoziona yeye kwa akili yake na macho yake.

Huo ndio wivu mbaya kabisa alionao kiongozi huyo wa kiroho unaokwenda sambamba na chuki, fitina za malengo ya kisiasa, majungu na uchonganishi unaolenga kuwapandikizia hasira za uasi wananchi ili kukidhi matakwa yake mwenyewe na wapambe wake.

Anafanya kila anachoweza ili wafuasi wake wa kiroho wamfuate pia katika itikadi zake za kisiasa na chuki zake kwa Rais Jakaya Kikwete, CCM na Serikali ya Awamu ya Nne.

Sitaki niaminishwe kwa namna yoyote kuwa mahubiri yake hayo ni agizo la Kanisa Katoliki kutoka popote, hivyo nitabaki naamini katika moyo wangu wote kwamba hayo ni matakwa yake mwenyewe ya kisiasa na siyo ya kiroho na hata vinginevyo.

Ni ajabu kwa padri kusimama katika altare kanisani na kusema uongo huku akiwa ameshika Biblia Takatifu, lakini pia ni dhambi zaidi kuhubiri uzushi unaolenga kuwachonganisha watu ili wafarakane kwa namna yoyote.

Baadhi ya maneno aliyoyaongea padre huyo ni kama ifuatavyo " Ni miaka kumi sasa inaelekea kuisha tangu serikali hii ilipowaahidi watanzania maisha bora kwa kila mtanzania, lakini ndio kwanza watu wanalia kutokana na ugumu maisha"? Pia padre huyo anahoji juu ya mauaji ya walemavu wa ngozi na vikongwe, anahoji kwa nini tangu serikali ya awamu ya nne ilipoingia madarakani kumekuwepo na hayo mauji haswa katika kipindi cha kuelea uchaguzi mkuu.

Badre wanaouwa ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi na bibi na babu zetu vikongwe ni sisi waumini wenu na hapo inabidi mjiangalie viongozi wetu wa dini je mmeshindwa kutuhubiria injili na kutupa chakula cha kiroho mpaka tukapendana na kuacha mambo ambayo hayapendezeshi mungu.

Na mtawezaje kutuhubiria upendo wakati mwaishi maisha ya kifisadi na kutufanya misukule ya kutoa sadaka ambazo zinawafanya mtukanane na kupokonyana waumnini, viongozi wa dini imefikia hatua mnavunja mpaka ndoa za watu badala ya kuzijenga imefikia hatua watu hawaoni hata umuhimu wa kwenda kanisani an msikitini,

Binafsi nilisikitika sana baba Paroko Mapunda kuanza kuzaa vazi la wanasiasa katika madhabahu ya dini, nilijiula maswali haya yafuatayo, huyu pandre amekuwa agent wa vyama siasa au mwanaharakati au la kwa maana hata ukisoma makala zake katika magazeti hajulikani yupo upande gani

Labda nimkumbeshe padre mapunda kuwa maisha bora si kuwajaza pesa wanachi ili waje kujaza vikapu vya sadaka hapo parokiani, padre mapunda amekuwa aiksafiri mara kwa mara kwa njia ya ndege na usafiri wa barabara hajaona tofauti ya viwanja vyetu vya ndege miaka kumi iliyopita na sasa?

Padre mapunda huoni ongezeko la wanafunzi wa elimu ya juu na secondary ambalo limesababisha kuondolewa kwa neon la kuchaguliwa neon ambalo lilisababisha baadhi ya wanafunzi wetu wengi kukosa nasi za kuebdelea na masomo hali yakuwa walikuwa na uwezo darasani?

Hebu jaribu kwenda hospitali ya taifa ya Muhimbili ilivyo leo ipo sawa na enzi za marais kina Mwinyi na Mkapa, leo tumefikia kuwa na madaktari bingwa kadhaa ambo huko nyumba hatukuwa navyo, hospitali zetu leo zimekuwa na vifaa ambavyo tulikuwa tunaishia kuviona kwenye tv, huyaoni haya yote

Padre mapunda kwanini wajitia upofu wa kutoona mafanikia ya Dr. Jakaya Mrisho kikwete hebu angalia hali ya mawasiliano nchini mwetu ambapo serikali ya awamu hii imeunganisha mawasiliano mikoa na wilaya pamoja na tarafani mpaka vijijini hali ambayo haikuwepo huku chuma.

Naamini umri wangu na wako huenda tukawa sawa au umenizidi kidogo sana padre wangu hukumbuki tulipokuwa tunasoma chini miembe na mikorosho ambapo ikitokea mvua tu darasa linakufa paapo hapo katka enzi zile mwalimu haliyakuwa kaptura zenu zikiyaonyesha makalio yetu, hukumbuki enzi zile tunatembea zaidi ya kilometer kumi na tano kwenda shuleni tena pekupeku? Je leo yapo hayo kama yapo kwa asilimia chache sana naweza kusema ni zero point

Padre Mapunda hebu vua hiyo miwani ya mbao uone watumishi wa serikali leo wanavyoishi maisha yenye staha tofauti hata na wakati wa mwalimu ambaye umekuwa ukimtolea mifano mara kwa mara.

Leo hii hakuna tena tatizo la kufata mshahara kwa siku tatu au zaidi mabenki yamesambazwa wailaya zote za Tanzania au hujui pia kwamba waweza kutoa pesa zako za mshahara kutoka account yako mpaka kwenye simu yako kiganjani we padre huyaoni hayo au uchochochezi tu.

Padre huoni aibu kujisahaulisha eti yakuwa enzi za mwalimu hakuwa na migomo, mbona padre wangu wakuwa mrongo ingwa sipendi kulitumia kina hilo utaniwia radhi lakini ukweli humuweka mtu huru, lalda nikikumbushe kti kimoja wakati fulani enzi za mwalimu kulitokea mgomo Mzumbe Morogoro mwalimu alikwenda kuonana na wale wanafunzi na kuwauliza tatizo lao.

Wanafunzi ladba kutokana na changamoto za ujana walianza kumuorezeshea mwalimu matatizo yao ikiwemo chakula sio kizuri wanaishi kama jela, wanalala kitanda kimoja wawili wawili na mabo mengi tu

Badada ya mwalimu kuwasilikilaza aliwajibu hivi " mnaonaje wengine wakienda kumpumzika nyumani ili vitanda na chakula kiwatoshe watakaobaki mpaka serikali itakapopata pesa ya kununu chakula kizuri na vitanda vingine pamoja na magodoro ili muishi kama nyumbani badala ya kuishi hapa kama jela, matokeo yake wanafunzi wote wakanywea. Padere hukumbuki migomo ya chuo kikuu ya cha Dar es Salaa akina Msekwa

Padre mapunda mauaji ya vikongwe au watu wenye ulemavu wa ngozi haukuanza leo hapa nchini umesasahau mauaji ya vikongwe wa shinyanga ndio yaliyomfanya rais msataafu wa awamu ya rais Mwinyi kujiuzulu alipokuwa waziri wa mambo ya ndani miaka ya sabini, mbali na Mwinyi alijiuzulu pia aliyekuwa waziri wan chi ofisi ya waziri mkuu Peter Siyovelva pamoja na wakuu wa mikoa ya Mwanza na Shinyanga akiwemo Peter Kisumo.

Padre mapunda umesahau mauaji na uchunaji ngozi yaliyokuwa yanatokea jijini Mbeya wakati wa serikali ya awamu ya tatu ya rais Benjamini Mkapa au wakati huo ulikuwa wapi hatukukusikai kukemea haya unayoyakemea sasa?

Mwisho labda nikuasae padre wangu usione waumini tupo kimya hatupendi mahubiri yenu ya kueneza chuki katika jamii, tunajua kuwa wewe na wakala wa Chadema na ukawa kumbuka sisi waumini wako ni wa vyama vyote unakuwa haututendei haki unapoisakama serikali yetu kwa mambo ya uzushi.:mimba:
Mkuu unakumbuka kama nyie hao hao ndo mlikuwa mnamtetea Pengo?je pengo maneno Yale yaliyosababisha Gwajima uvumilivu umshinde alikuwa ameyasemea wapi?mwalimu Nyerere aliondoka na siasa ya nchi hii.sasa hivi tumebaki na wanasiasa uchwara,wanasiasa mufilisi ambao kigezo cha kwanza cha kuwatambua ni aina Yao ya kupenda sifa na kuwafanya watu wote wasiofikiri kama wao,wasema ukweli Kuwa maadui zao na kuwapachika Vyeo Vya uchochezi,mwisho ni wasahaulifu kama kuku.
 
Hivi kweli huyu mapunda ni kasisi au wakala wa ukawa na chadema?sijamuelewa kwamba amechagua siasa au kuchunga kondoo?naona amepotoka kwa kiasi kikubwa'siasa na dini wapi na wapi? Kama maji na mafuta
 
Kiongozi yeyote wa Dini anayeshabikia Siasa ni wa kumuogopa kama Ukoma
 
Padre mapunda huyaoni haya!

Mwanzoni mwa mwezi huu wakristo wote hapa nchini waliungana na wenzao duniani kote kwa kushsherekea sherekea sikukuu ya pasaka kama kumbukumbu ya ufufuo wa bwana yesu, karibu viongozi wote wa dini walihubiri amani na upendo na mshikamano pamoja na kuvumiliana katika dini.

Akiongoza ibada zote mbili ya ijumaa kuu na Pasaka katika Kanisa Katoliki la Manzese jijini Dar es Salaam, Padri Baptiste Mapunda alikuwa tofauti na viongozi wenzake yeye alihubir uchochezi uaasi na chuki akiwahimiza wafuasi wake kuiasi na kuichukia serikali iliyoko madarakani kwa sababu mbali mbali alizoziona yeye kwa akili yake na macho yake.

Huo ndio wivu mbaya kabisa alionao kiongozi huyo wa kiroho unaokwenda sambamba na chuki, fitina za malengo ya kisiasa, majungu na uchonganishi unaolenga kuwapandikizia hasira za uasi wananchi ili kukidhi matakwa yake mwenyewe na wapambe wake.

Anafanya kila anachoweza ili wafuasi wake wa kiroho wamfuate pia katika itikadi zake za kisiasa na chuki zake kwa Rais Jakaya Kikwete, CCM na Serikali ya Awamu ya Nne.

Sitaki niaminishwe kwa namna yoyote kuwa mahubiri yake hayo ni agizo la Kanisa Katoliki kutoka popote, hivyo nitabaki naamini katika moyo wangu wote kwamba hayo ni matakwa yake mwenyewe ya kisiasa na siyo ya kiroho na hata vinginevyo.

Ni ajabu kwa padri kusimama katika altare kanisani na kusema uongo huku akiwa ameshika Biblia Takatifu, lakini pia ni dhambi zaidi kuhubiri uzushi unaolenga kuwachonganisha watu ili wafarakane kwa namna yoyote.

Baadhi ya maneno aliyoyaongea padre huyo ni kama ifuatavyo “ Ni miaka kumi sasa inaelekea kuisha tangu serikali hii ilipowaahidi watanzania maisha bora kwa kila mtanzania, lakini ndio kwanza watu wanalia kutokana na ugumu maisha”? Pia padre huyo anahoji juu ya mauaji ya walemavu wa ngozi na vikongwe, anahoji kwa nini tangu serikali ya awamu ya nne ilipoingia madarakani kumekuwepo na hayo mauji haswa katika kipindi cha kuelea uchaguzi mkuu.

Badre wanaouwa ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi na bibi na babu zetu vikongwe ni sisi waumini wenu na hapo inabidi mjiangalie viongozi wetu wa dini je mmeshindwa kutuhubiria injili na kutupa chakula cha kiroho mpaka tukapendana na kuacha mambo ambayo hayapendezeshi mungu.

Na mtawezaje kutuhubiria upendo wakati mwaishi maisha ya kifisadi na kutufanya misukule ya kutoa sadaka ambazo zinawafanya mtukanane na kupokonyana waumnini, viongozi wa dini imefikia hatua mnavunja mpaka ndoa za watu badala ya kuzijenga imefikia hatua watu hawaoni hata umuhimu wa kwenda kanisani an msikitini,

Binafsi nilisikitika sana baba Paroko Mapunda kuanza kuzaa vazi la wanasiasa katika madhabahu ya dini, nilijiula maswali haya yafuatayo, huyu pandre amekuwa agent wa vyama siasa au mwanaharakati au la kwa maana hata ukisoma makala zake katika magazeti hajulikani yupo upande gani

Labda nimkumbeshe padre mapunda kuwa maisha bora si kuwajaza pesa wanachi ili waje kujaza vikapu vya sadaka hapo parokiani, padre mapunda amekuwa aiksafiri mara kwa mara kwa njia ya ndege na usafiri wa barabara hajaona tofauti ya viwanja vyetu vya ndege miaka kumi iliyopita na sasa?

Padre mapunda huoni ongezeko la wanafunzi wa elimu ya juu na secondary ambalo limesababisha kuondolewa kwa neon la kuchaguliwa neon ambalo lilisababisha baadhi ya wanafunzi wetu wengi kukosa nasi za kuebdelea na masomo hali yakuwa walikuwa na uwezo darasani?

Hebu jaribu kwenda hospitali ya taifa ya Muhimbili ilivyo leo ipo sawa na enzi za marais kina Mwinyi na Mkapa, leo tumefikia kuwa na madaktari bingwa kadhaa ambo huko nyumba hatukuwa navyo, hospitali zetu leo zimekuwa na vifaa ambavyo tulikuwa tunaishia kuviona kwenye tv, huyaoni haya yote

Padre mapunda kwanini wajitia upofu wa kutoona mafanikia ya Dr. Jakaya Mrisho kikwete hebu angalia hali ya mawasiliano nchini mwetu ambapo serikali ya awamu hii imeunganisha mawasiliano mikoa na wilaya pamoja na tarafani mpaka vijijini hali ambayo haikuwepo huku chuma.

Naamini umri wangu na wako huenda tukawa sawa au umenizidi kidogo sana padre wangu hukumbuki tulipokuwa tunasoma chini miembe na mikorosho ambapo ikitokea mvua tu darasa linakufa paapo hapo katka enzi zile mwalimu haliyakuwa kaptura zenu zikiyaonyesha makalio yetu, hukumbuki enzi zile tunatembea zaidi ya kilometer kumi na tano kwenda shuleni tena pekupeku? Je leo yapo hayo kama yapo kwa asilimia chache sana naweza kusema ni zero point

Padre Mapunda hebu vua hiyo miwani ya mbao uone watumishi wa serikali leo wanavyoishi maisha yenye staha tofauti hata na wakati wa mwalimu ambaye umekuwa ukimtolea mifano mara kwa mara.

Leo hii hakuna tena tatizo la kufata mshahara kwa siku tatu au zaidi mabenki yamesambazwa wailaya zote za Tanzania au hujui pia kwamba waweza kutoa pesa zako za mshahara kutoka account yako mpaka kwenye simu yako kiganjani we padre huyaoni hayo au uchochochezi tu.

Padre huoni aibu kujisahaulisha eti yakuwa enzi za mwalimu hakuwa na migomo, mbona padre wangu wakuwa mrongo ingwa sipendi kulitumia kina hilo utaniwia radhi lakini ukweli humuweka mtu huru, lalda nikikumbushe kti kimoja wakati fulani enzi za mwalimu kulitokea mgomo Mzumbe Morogoro mwalimu alikwenda kuonana na wale wanafunzi na kuwauliza tatizo lao.

Wanafunzi ladba kutokana na changamoto za ujana walianza kumuorezeshea mwalimu matatizo yao ikiwemo chakula sio kizuri wanaishi kama jela, wanalala kitanda kimoja wawili wawili na mabo mengi tu

Badada ya mwalimu kuwasilikilaza aliwajibu hivi “ mnaonaje wengine wakienda kumpumzika nyumani ili vitanda na chakula kiwatoshe watakaobaki mpaka serikali itakapopata pesa ya kununu chakula kizuri na vitanda vingine pamoja na magodoro ili muishi kama nyumbani badala ya kuishi hapa kama jela, matokeo yake wanafunzi wote wakanywea. Padere hukumbuki migomo ya chuo kikuu ya cha Dar es Salaa akina Msekwa

Padre mapunda mauaji ya vikongwe au watu wenye ulemavu wa ngozi haukuanza leo hapa nchini umesasahau mauaji ya vikongwe wa shinyanga ndio yaliyomfanya rais msataafu wa awamu ya rais Mwinyi kujiuzulu alipokuwa waziri wa mambo ya ndani miaka ya sabini, mbali na Mwinyi alijiuzulu pia aliyekuwa waziri wan chi ofisi ya waziri mkuu Peter Siyovelva pamoja na wakuu wa mikoa ya Mwanza na Shinyanga akiwemo Peter Kisumo.

Padre mapunda umesahau mauaji na uchunaji ngozi yaliyokuwa yanatokea jijini Mbeya wakati wa serikali ya awamu ya tatu ya rais Benjamini Mkapa au wakati huo ulikuwa wapi hatukukusikai kukemea haya unayoyakemea sasa?

Mwisho labda nikuasae padre wangu usione waumini tupo kimya hatupendi mahubiri yenu ya kueneza chuki katika jamii, tunajua kuwa wewe na wakala wa Chadema na ukawa kumbuka sisi waumini wako ni wa vyama vyote unakuwa haututendei haki unapoisakama serikali yetu kwa mambo ya uzushi.:mimba:
unamwandiko mzuri
umeingiza siku
 
Padre Mapunda yy kazi yake ni kusema ukweli,na ndiyo misingi yake,huwa hawaogopi kusema ukweli na ndo maana watu kama hawa husifiwa na mimutu kama ya ccm akisha kufaga ndo maana yanajifanya yanamuenzi mwalimu huku yanaiba lasilimali zetu kila siku.
 
Back
Top Bottom