SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,280
Ingawa tume a uchaguzi iliwawekea mikwara lakini wakaendelea kuhamasisha kujiandikisha!Nimeshudia uhamasishaji wao kwa wananchi kujiandikisha kwa kweli wamefanya kazi kubwa sana
Ingawa tume a uchaguzi iliwawekea mikwara lakini wakaendelea kuhamasisha kujiandikisha!Nimeshudia uhamasishaji wao kwa wananchi kujiandikisha kwa kweli wamefanya kazi kubwa sana
Kazi ni Kweli Wamefanya Kubwa, Wamesensitize Potepote Hadi Vijijini; Wamekubarika Potepote Swali ni Moja tu Je Watazilinda Kura Ambazo Ki-Msingi Zitawafikisha Magogoni.
Ebu CHADEMA/UKAWA Kwa Ushirika Wao Watupe Uhakika wa Kuzilinda Kura za Watanzania Wenye Njaa na mabadiriko ya Kimfumo na Kiuchumi. Na je Wamekubali Kuingia kwenye Uchaguzi Chini ya Tume Hii ya Uchaguzi.
Ni Hatari na Ninawasiwasi Kama M/kiti atakuwa na Ujasiri wa Kuwatangaza Kama Washika Dola Halali.
Leo kuna kuna mtaa wamepita na gari na sare zao acha wazomewe duu yani huwezi amini mpaka rangi zao watu wana alergy nazo.
For shizo manizo.
CHADEMA sio chama cha mchezo mchezo. Kwa mwaka huu pekee wamefanya kazi kupita malengo yao kwa aslimia mia mbili na ushee wamepiga jalamba watanzania wote sasa wanajiandikisha kwenye daftari la wapiga kura
Kwa kweli hichi chama kinahitaji pongezi kwa kila Mtanzania mpenda demokrasia kazi iliyofaywa na CHADEMA ni kubwa sana ndugu zangu, CHADEMA wamechangia sana watanzania kujua haki zao pamoja na kujijengea uwezo wa kujieleza na kujenga hoja hata kwa wana CCM wenyewe
kweli wamefanya kaz ila watapanga ofisi had lin?