Recent content by goodhearted

  1. goodhearted

    JamiiForums Tanzania Nchi za ughaibuni zinaweza kukufanya ushindwe kuwa na mwanamke au kupata mtoto

    Mbona hata huku yamefika. Ila shughuli wanayokutana nayo single mama si ya mchezo pamoja na kuwa sheria imewaegamia
  2. goodhearted

    JamiiForums Tanzania Kijana usiwe kataa ndoa ni hatari inafupisha maisha

    Ndoa itabaki kuwa taasisi bora kabisa endapo tu mind set za waowaji na waolewaji zinabadilika. Ndoa zimevamiwa na mashangingi plus wavaa kk, hapo kutakuwa na ndoa kweli. Wanawake wengi wanaingia kwenye ndoa kimasirahi.waowaji nao siku hizi wanaangalia mwanamke atamnufaisha vp kiuchumi. Vurugu...
  3. goodhearted

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kingu: Dudu Baya ni mpambanaji, tutamchangia shilingi million 1.5

    Kulinda maadili ni ujinga???? Dunia simama nishuke
  4. goodhearted

    JamiiForums Tanzania Haki ya Mtoto Kutunzwa na Wazazi Wote Wawili Baada ya Utengano – Funzo Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania

    Ndio unavyomdanganya dada yako aliye olewa sogea tukae
  5. goodhearted

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume anakojoa damu umri maiaka10

    Usisahau kutupa mrejesho wa uchunguzi wa daktari sisi wajomba zake na kijana wetu. Tumempanbania sana and hopefully leo leo hii baada tu ya kuanza dose atarudi katika afya yake njema
  6. goodhearted

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kadi ya Mwendokasi haipo kwenye Google Wallet?

    Hayo maoni tukuachie wewe kama nani
  7. goodhearted

    JamiiForums Tanzania Wazazi wanafiki hawafundishi IMANI vijana wao

    Fafanua zaidi
  8. goodhearted

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hakuna kimasihare ya hivi.
  9. goodhearted

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa pikipiki

    Nahitaji yenye mwonekano wa kisasa
  10. goodhearted

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa pikipiki

    Mchina kampuni gani mkuu
  11. goodhearted

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa pikipiki

    Campuni gani ya pikipiki yenye muundo wa kisasa cc 125 yenye mfumo wa push rod kwenye injini yake badala ya timing chain
  12. goodhearted

    JamiiForums Tanzania Mlioko kwenye ndoa mnanizidi nini katika mazingira haya!

    Kwani vichaa na matahira hawazai?
  13. goodhearted

    JamiiForums Tanzania Mlioko kwenye ndoa mnanizidi nini katika mazingira haya!

    Huna akili. Utawezaje kuishi na mwanamke!
  14. goodhearted

    JamiiForums Tanzania Wakulungwa na wazee wa kupiga chabo, nipeni ushauri kwenye hili

    Kilio na yowe la tani mia
Back
Top Bottom