Recent content by Goodchris

  1. Goodchris

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raia wa nchi 130 wataingia Kenya bila kuwekwa karantini, Tanzania haimo

    Wenye akili na matajiri huwa hawaibiwi na viongozi wao bwana[emoji23][emoji23][emoji23]
  2. Goodchris

    JamiiForums Tanzania GE2020 Unafahamu kwanini CHADEMA imekataliwa Dar?

    Hamna Hoja hapa
  3. Goodchris

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raia wa nchi 130 wataingia Kenya bila kuwekwa karantini, Tanzania haimo

    Kwahiyo nyie Kenya ndo mnathamini sana watu wenu, juzi tu hapa watu wamekula pesa za msaada wa Vifaa Tiba vya Corona, sasa hapo una thamini nini[emoji23][emoji23][emoji23] This time we will surely show you who holds the hoe handle
  4. Goodchris

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanajamvi maneno haya yana ukweli kiasi gani?

    Mapenzi bila pesa hayanogi
  5. Goodchris

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri: CHADEMA msitumie/mpunguze matumizi ya usafiri wa helicopter kwenye kampeni za Urais

    Ila jiulize magufuli alisimama kwenye vijiji vingapi kuwahutubia wananchi sera zake, na ndipo anaenda kwenye mikutano ya wilaya au mkoa.
  6. Goodchris

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hofu ya Kenya katika akili za Tanzania

    Uchambuzi Makini ambao unaweza ukawa una mapungufu machache sana. Ila Chambuzi safi kabisa na Theory hapo umeweka safi kabisa.
  7. Goodchris

    JamiiForums Tanzania Chama makini hakiwezi kushupalia suala dogo kama hili. Hii ni dalili sasa mmeshakubali matokeo

    Waachane wale little victories mmewabana sana
  8. Goodchris

    JamiiForums Tanzania Ni hasara gani kubwa ulishawahi kuipata ikakurudisha nyuma?

    Kurudia madarasa mawili aisee Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Goodchris

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais Magufuli, naomba utangaze Kuzuia safari za Mkoa Kwa Mkoa isipokuwa kwa kibali

    Mimi nahisi mzee ulikuwa una mada nzuri ya kuiwakilisha humu labda namna ulivyowakilisha labda ungekuja na data za kusupport mada yako watu wangekuelewa zaidi. Ila maoni yako yanafaa yaheshimiwe na yasikejeliwe Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Goodchris

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais Magufuli, naomba utangaze Kuzuia safari za Mkoa Kwa Mkoa isipokuwa kwa kibali

    Hii ni sahihi kabisa yani Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Goodchris

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kati ya uzi unaofurahisha na kuelezea visanga vingi ni huu[emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom