Recent content by Goodchance Comes

  1. Goodchance Comes

    Karibuni mliochaguliwa Minaki Sekondari

    Yah unaweza kukubaliwa, lakini Kwa Minaki wanachoangalia ni kuwa katika Yale masomo yako unayotaka kuchukua mchepuo nayo, uhakikishe umepata kuanzia B na kuendelea..!! La sivyo usome kombi nyingine.
  2. Goodchance Comes

    Karibuni mliochaguliwa Minaki Sekondari

    Karibu sana ndugu, sehemu utakayojisikia haupo peke yako mana kuna ma-brothers wakushilikiana nawe katika mambo ya kila siku.
  3. Goodchance Comes

    Karibuni mliochaguliwa Minaki Sekondari

    Nilipata tabu kidogo kuifikia hii shule na kuitambua vizuri. Hivyo natamani kufanyika msaada kwa kaka zangu wa 2016/2017. KARIBUNI SANA
  4. Goodchance Comes

    Msaada: Jinsi ya kubadili shule

    Kuhama komb nako kuna changamoto, baadhi ya shule wanataka Kwa masomo unayotaka kuchukulia komb mf. PCB bio, chem na phys. Wanataka uwe umefaulu kwa daraja la B na kupanda juu, Kama Hata somo moja umeshindwa kufikia vigezo basi wanakataa.
  5. Goodchance Comes

    Ulifikiria nini kujibatiza username unayoitumia JamiiForums

    Nafasi bora inakuja, katika kila jambo unalo fanya usikate tamaa hakikisha unafikia mafanikio
  6. Goodchance Comes

    Dictatorship in democracy

    People have many ways to justify what they want, it's the world we live..!! I'm not surprised
  7. Goodchance Comes

    Hivi hizi n tetesi ama kweli

    Aiseeh Kama kla mwaka n kubadlsha hyo n shidah, chanzo cha habar n kp..!???
Back
Top Bottom