Karibuni mliochaguliwa Minaki Sekondari

Dec 30, 2015
11
2
Nilipata tabu kidogo kuifikia hii shule na kuitambua vizuri. Hivyo natamani kufanyika msaada kwa kaka zangu wa 2016/2017.
KARIBUNI SANA
 
Dah mm nmepangiwa Biharamulo huko Kagera PCM bt nlitaman sana kusoma Minaki.. sijui nawez pata nafasi pale?? ufaulu wangu n Division Two ya 21. Hivi wanawez kunikubalia kweli
 
MINAKI ni shule ya ukweli sana, na aliyepita pale kwa miaka mpaka 2005 chini ya R.I.P Headmaster Mjale hakika aliiva vya kutosha. Ukiamua kusoma na kuifungua akili pale ndo mahali pake, I miss the place where I started to build my carrier
 
Nenda karipoti kijana usome tuu sababu walishasema utapopangiwa ndipo hpohp
 
Yah unaweza kukubaliwa, lakini Kwa Minaki wanachoangalia ni kuwa katika Yale masomo yako unayotaka kuchukua mchepuo nayo, uhakikishe umepata kuanzia B na kuendelea..!! La sivyo usome kombi nyingine.
 
Samahan mkuu naomba tuwasliane kupitia 0672172801 kama inawezekana whatsap au live kwan nahitaji kujua joining instructions namna ya kuipata au kujua maagizo ya muhimu
 
Nilimaliza apo form six mwaka 2014 comb PGM nikaenda jeshini JKT oljoro nikaamua kubakii uko uko jeshini sasaiz ni afisa wa jeshi nikiwa na umri mdogo sana nina gari nina nyumbaa nakula mshara mkubwa tuu dah aiseee i love minaki kwa kweliiiiii bado kijana mdogo sana ila nusu ya malengo yangu nishafikia nikuwa nina umri wa 23 tuu aisee ctoacha kuipenda minakii nitaipenda daima one day nitakuja kuwapa gwala madogo bye de way uku jf tunaweka information fake za uongooo kwaiyo usishangae ukienda kwny profile yangu ukakuta zile information ni uongo mtupu...i love minaki coz nw niko na career moja nzuri sana na enjoy balaaaaaaaaaaa minakiii oyeee niko young nakula maisha tuuu .kazeniiii madogo somenii sana mtatoboaa tuuuuu mm niliteseka sana apo minaki nilikuwa nakula sana misuli mpaka nw ni afisa wa jeshi JWTZ OFFICER.......LIFE GOOD DREAMS COME TRUE......!!!
 
Back
Top Bottom