Recent content by goodbeatus

  1. G

    JamiiForums Tanzania PlayStation 2

    Nataka playstation 2...njamani !! Mwenye anauza ani inbox then tuongeee!! Mimi Niko mbeya
  2. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mlioingia kwenye uhusiano kwa mara ya kwanza jiandaeni kisaikolojia

    Aisee hilo funzo kwa wanaume masingo kama mimi
  3. G

    JamiiForums Tanzania Jamani hili sio la kudharau kabisa, ebu tufahamishane

    Hakumaanisha chakula kama...wali au ugalii...alimaanisha ajali za kiroho Na za kimwili-since vitabu vya dini vipo katika mafumbo...so kama ujasoma Bibel knowledge ni vigumu kutambuaaa hayaa...
  4. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa wanaume!!

    Hahaha...sasa sikilizeni..."mwanaume ni kichwa" naweza kusema hii sentensi nzito yenye wepesi wa kutamkwa- inampa jeuri mwanaume...si mwanaume tu: Bali mwanaume mwenye choyo...Na si choyo tu Bali --------. Kwahiyo ndio hivyo...t
  5. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume embu nisaidini hili

    Aisee...mambo kama hayo yanapokudhuru ktk ujue kabisa kuwa Hugo...mwanaume hakupendi. Au ameshapata alicho kitaka kutoka kwako(kufanya mapenzi Na wewe). Au amekuchokaaa...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro awards

    Hivi...tuzo ya video bora anachukua nani? Msaniii au mtengenezaji wa hiyo video?
  7. G

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni link ya kudownload nyimbo za kibongo

    Oyaaaa...engine nZuri Na ya uhakika ni hulkshare
  8. G

    JamiiForums Tanzania Professional VIDEO CAMERA nzuri inauzwa Canon XL1 KWA 850,000 TU

    Ahhh..nimechelewa kujua hiloo!!!! Lakini kuna uwezo wakupata nyinginee
  9. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta video camera-mtumba

    Ulipata video camera
  10. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta video camera

    Natafuta video kamera aina ya canon....
  11. G

    JamiiForums Tanzania Nisher Bybee: The Genius behind many hot Videos in Bongo

    Yah!! Nisher... huyo jamaa c director wa video Bali photography... coz hana good scripts kwa vidio Sake... but anafanya fresh sana upande wa grading the colour of his videos.. kwa hilo big up kwake, Lkn ile video ya shilole amevuruga... ninge kuwa mimi ninge shot kwenye migodi,feeds with...
Back
Top Bottom