Jamani hili sio la kudharau kabisa, ebu tufahamishane

Jamani hili sio la kudharau kabisa, ebu tufahamishane

haya ngoja tukuridhishe,tufanye iko hivyo,wewe nabii wako amekufa kwa kichapo cha mbwa mwizi,get it?
Poa afu tufanye hivi.., Yesu alifufuka alafu huyo ye alikufa kimoja.., get it..?!
 
Habari yenyewe inahusu yeremiah wakati akiwahutubia wayahudi wa nchi ya yuda,katika mwaka wa nne wa utawala wa king yehoyakim mwana wa josia.wala haihusiani na matukio yeyote nje ya yuda.kumbuka wayahudi hawakuwa wanashare mungu wao na mataifa mengine.wao alikua mungu wa israel.
https://sbgoc.org/bible/1/JER/25/29
 
Hakumaanisha chakula kama...wali au ugalii...alimaanisha ajali za kiroho Na za kimwili-since vitabu vya dini vipo katika mafumbo...so kama ujasoma Bibel knowledge ni vigumu kutambuaaa hayaa...
 
lazima angewaambia wengine wasile
coz mtume wa uongo alikua yeye na ndio
ilimuhusu!! heheiyaaa!!
 
This is world english bible,lets look what it say as you know we have a very large varieties of bibles.
Yeremiah 23:15.
=therefore thus say YAHWEH of the armies concerning the prophets,Behold i will feed THEM with wormwood and make THEM drink the water of gall,for from the PROPHETS OF JERUSALEM is ungodliness gone forth into all the land.
 
Habari yenyewe inahusu yeremiah wakati akiwahutubia wayahudi wa nchi ya yuda,katika mwaka wa nne wa utawala wa king yehoyakim mwana wa josia.wala haihusiani na matukio yeyote nje ya yuda.kumbuka wayahudi hawakuwa wanashare mungu wao na mataifa mengine.wao alikua mungu wa israel.
https://sbgoc.org/bible/1/JER/25/29


Ebu tuendelee na kipande chetu ambacho tuliwahi kujadili na kukiacha!

Wanadamu wote waliumbwa na nani?

Kwanini useme Mungu Wa waisrael na wakati Mungu Ndio alietuumba sote?
 
Matayo 23-15 ole wenu walimu wa sheria na mafarisayo,wanafiki mnasafiri baharini na nchi kavu ili kumpata mtu mmoja afuate dini yenu,mnapo mpata mnafanya astahili maradufu kwenda ktk moto wa jehenamu kuliko nyi nyi wenyewe,
 
Ebu tuendelee na kipande chetu ambacho tuliwahi kujadili na kukiacha!

Wanadamu wote waliumbwa na nani?

Kwanini useme Mungu Wa waisrael na wakati Mungu Ndio alietuumba sote?
ukweli ni kuwa mungu wa israel in reality hayupo,ni mungu wa kutengeneza tu ili hawa wayahudi wajipandishe chart.

Yahwew kama utaresearch history yake ni mungu wa vita(pagan god of war)wa zama hizo.
Jaribu pia ku google Eloh,utaona kuwa ni jina lilotumiwa na jamii mbalimbali huko maeneo ya caanan kurefer mungu.
Ukija kwa God,utaona asili yake ni gut ,got,kule germany.
Sijajua asili ya neno mungu,nitatafuta.
 
Kama vinegar ni sumu.., basi wengi wetu tunaokula ugali kwa chachandu a.k.a vinegar ingeshatuua.., wapi limeandikwa neno poison.., au ni hisia zako tu.., isn't it obvious mijeledi na mkuki ndio vilimuua..?, further more Yesu alifufuka na yu hai.., ni kama hakufa tu. Sasa basi turudi kwenye ile misumari ya moto..,
From Bukhari's Hadith 3.786:

Narrated Anas bin Malik: A Jewess brought a poisoned (cooked) sheep for the Prophet who ate from it. She was brought to the Prophet and he was asked, "Shall we kill her?" He said, "No." I continued to see the effect of the poison on the palate of the mouth of Allah's Apostle.

Nimeipenda sana hiyo matayo 23-7 HUPENDA KUSALIMIWA KWA HESHIMA SOKONI NA KUPENDELEA KUITWA NA WATU MWALIMU,
 
Back
Top Bottom