Recent content by gongolamboto

  1. G

    Usiwekeze kwa mwanamke

    Kama bado hujaoa lazima uwe na hayo mawazo. mwanamke ni mwanamke tu hata akiolewa. mwanamke ni mbinafsi iwe kwa mumewe hadi watoto.
  2. G

    Mtakufa malofa na moto mtauingia kwa kuendekeza mpira

    Kizuri ni kwamba wasiopenda mpira ni masikini zaidi
  3. G

    Tusimung'unye maneno, barabara ya Kusini ilijengwa chini ya viwango!

    Tuliosoma sayansi tunajua nguvu ya maji.
  4. G

    Tujifunze kuwa wakweli

    Cha maana acheze mpira tunavyotaka. Mengine hayakuhusu
  5. G

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Kwa ujumla wanawake ni wakatili sana.
  6. G

    Kaka karibu nyumbani, Mwenyezi Mungu kaamua ugomvi, sasa bahari ipo shwari

    Sema sikubaliani. Hamkubaliani na nani?
  7. G

    Wanaume tunafeli pakubwa

    Kugawana mali inategemea mchango wa mke au mume kwenye kuitafuta. Siyo 50/50.
  8. G

    Car4Sale Nauza Toyota Vanguard

    Ninayo zaidi ya 9 years. Sijawahi pata pancha.
  9. G

    Kati ya Mama mzazi na mke/mume nani utakaemjali?

    Uko sahihi kabisa. Wengi huwa hawaelewi hilo.
  10. G

    Yanga SC na GSM Wanasajili, Simba SC na Mo Dewji wanafanya Mzaha

    Weka akiba ya maneno. Uzuri au ubaya wa mchezaji unategemea mazingira ya timu.
  11. G

    Kuuliza si ujinga: Hivi Diwani Athumani kashuka au kapanda?

    Katibu Mkuu Ikulu, ni anasimamia Wizara ya Utawala bora, Takukuru, TIS na Mkurabita. Sasa jazia mwenyewe kama amepanda au ameshuka
  12. G

    Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

    TISS, TAKUKURU, TASAF, Utawala bora ziko chini ya Katibu Mkuu Ikulu. Ilikuwa promotion siyo demotion
  13. G

    Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

    Acha uongo wewe.
  14. G

    Diwani Athumani Msuya atenguliwa Ikulu

    Kushushwa cheo kivipi? Idara ya usalama wa taifa iko chini ya Katibu Mkuu Ikulu. Sasa alishushwa vipi?
Back
Top Bottom