Mimi wakatimwingine nipo form 4 nilikua nakaba na kuchukua hell kunasiku nilimkaba babaake na rafikiyangu ananijua vizuri sababu nilitokea nyuma hakuniona nikaona Bora nimalize kabisa yani niuwe nilikaba mpaka akalegea nikajua tayari nimeua kumbe kazimia
Acha ujinga Tena nakuonya acha ujinga rais ni binadam sema ye anamamlaka kila mmoja anajisikia anavyo hisi raisi akilia unataka wote tulie wengine watacheka jifunze sana
Yani ww ndo chizi kabisa kwani mwanajeshi sio mtu akizidisha pombe analewa chakari na akizingua anakula kichapo Kama kawa natunawachapa Sana tu sisi nimasoja Sema hatukubahstika kupewa kazi na serikali Tena raia wengi wako fiti kuliko hao jamaa
Nawasiwasi labda anapenda maana aliambiwa achague kuvuta bangi ama kubakwa Sasa Altona Bora kubakwa Kama ni mdogowangu angepata tabusana kwa kuchagua upuuzi huo
Kawaida gani minilitongoza kwenye harusi nikajua dem kumbe meni dakika kumi naona watu wananifata nakuanza kunilalamikia basi nikawaambia wamuite mlengwa nikawaambia muangalieni vizuri watu wote waliguna shangaziyake akamwambia Rudi nyumbani kabadirishe nguo alivyofika mbalikidogo akamwambia...
Kuna jamaa nilikua nakaa nae ni dereva was Kosta anamke Bomba balaa alikua anatoka saa kumi namoja akitoka tu mi nazama najilia mzigo mpaka saa 2 naenda zangu mishe mbaya zaidi Dem alikua anatoka nimuamber ruty anasema jamaa anarudi kachoka hawezi kitu
Mimi huwa nawanyanyasa Sana kunammoja tulikua nae gym moja mpaka jamaa wakawa wanakasirika maana nilikua namnyanyasa na kum tenga Hadi akawa anallmika kwa wenzangu kunasiku nilumkuta gym nikamuuliza hapa wapi akajibu nikamuuliza nchigani akajibu nikamwambia mtanzania Kwanza nipishe akaenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.