Recent content by gomz

  1. G

    Ni nani Valentino Mlowola?

    Hapa ni kazi tuu.
  2. G

    Ni nani Valentino Mlowola?

    Binafsi namkubali sana rais wangu JPM kwakuwa katuchagulia huyu mh.Mlowola lazima atakuwa moja wa watu anaoendana nae kikazi hilo toeni shaka watanzania.
  3. G

    Kigwangalla azidi kumkalia kooni Dr. Mwaka

    Lazima tutambua waziri hicho anachokifanya kipo ktk himaya yake,sasa basi lazima aanze na yule ambae kila kukicha tunamsikia na baade a deal na wengine
  4. G

    Baraza jipya la Mawaziri: Tanzania Mpya tuliyoitegemea imeanza kuyeyuka..!

    Vile vile ulivyomuamini mh.rais kwa kazi zake nzuri basi kuwa mstaarabu na kuamini anayoyafanya mkuu
  5. G

    Rais Magufuli Kuisimamia Wizara Ya Fedha Mwenyewe

    Kwa hilo litakuwa jambo la busara sana kama hiyo wizara mama atakuwa mwenyewe pia na hizo wizara nyeti ambazo hajaweka mawaziri nazo ziwe chini yake ila awaweke maanaibu tu.Tuombe mungu sana ili liwe ndio ziwe fikra zake
  6. G

    Shule binafsi acheni wizi, mnapata faida kubwa sana

    Napenda kuchangia ktk hili,ni vizuri wamiliki wa shule binafsi na serikali wakae pamoja ili waliweke sawa bila ya kuumiza pande yeyote,ni dhahiri gharama za kusomesha zimekuwa ghali sana pia inawezekana na uendeshaji wa hizo shule pia gharama zake zipo juu.Kazi kwenu serikali na matumaini...
  7. G

    Rais Magufuli, Kikwete na wafanyabiashara

    Ningependa nami nitoe maono yangu juu ya hili,kwanza lazima tukubali kwa kitendo cha rais Magufuli kuwaita wafanya biashara na kuongea nao ni busara tosha kwani alikuwa na uwezo akatuma wakamatwe wale wote waliokwepa kulipa kodi ya serikali na wakashughulikiwa mara moja,aliona kwanza awajue...
  8. G

    Anachofanya Rais Magufuli sasa ni uchonganishi kati ya wananchi na Kikwete

    Huyu jamaa alieleta huu uzi naomba awe anajiandaa kwanza kabla ya kutoa maono yake,ninavyoelewa binafsi rais Magufuli na mstaafu Kikwete ni watu wanaoheshimiana sana na kuhusu utendaji wa kazi kila mmoja ana utaratibu wake wa kuongoza,Mh Kikwete kashamaliza ingwe yake na sasa tumuombee Mh.Rais...
  9. G

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Sasa ni muda wa watanzania wote tuwe kitu kimoja tufanye kazi kwa bidii ndio njia sahihi ya kumuunga mkono Mh.rais
  10. G

    Rais Magufuli: Pesa za Uhuru zijenge barabara ya Mwenge-Morocco Dar es Salaam

    Ni jambo la faraja sana kwa huu utaratibu anaokwenda nao mh.Magufuli na kikubwa kwetu sisi wananchi tumpe moyo ktk kulisukuma gurudumu la maendeleo.
  11. G

    GE2015 Huyu ndiye Waziri Mkuu wa Magufuli

    Mwakyembe na muhongo ndiyo wenyewe mkuu
  12. G

    Are spies made or born?

    Mkuu de'levis Napenda kukujulisha kwamba elimu unayotoa inatujenga sana hasa km kina mimi mwenye upeo mdogo,bado tupo nyuma yako mkuu
  13. G

    Are spies made or born?

    Mkuu de'levis Napenda kukujulisha kwamba elimu unayotoa inatujenga sana hasa km kina mimi mwenye upeo mdogo,bado tupo nyuma yako mkuu
  14. G

    Majibu kwa Mzee Mwinyi kuhusu CCM A na CCM B

    Waheshimiwa ndugu zanguni, Kipindi tulicho nacho sasa ni kipindi muafaka cha kujuzana yanayoleta tija katika kuelekea uchaguzi badala ya kuleta maneno yasiyo na maadili katika jamii yetu.
Back
Top Bottom