Recent content by Gomvu

  1. Gomvu

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye watoto waliotelekezwa wafurika ofisi za Mkuu wa Mkoa Dar Paul Makonda kushitaki

    Huu mtego wa gwajima nini? , ila nahisi watanaswa na wasiohusika.
  2. Gomvu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kama punda anayekata roho anarusha mateke ya mwisho

    Lazima uwe msukule ili uiamini chadomo na Dj wake.
  3. Gomvu

    JamiiForums Tanzania Mbunge Prof. Jay aangua kilio hadharani, baada ya mauaji yaliyofanywa na polisi jimboni kwake

    Amelia kinafki, hulii mpaka mbele ya kamera!!!? ,
  4. Gomvu

    JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Kuku wa kienyeji (Pure) - Biashara kichaa isiyo na tija

    Nakubaliana nawe, Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Gomvu

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa CHADEMA waparaganyika

    Alituongoza lowasa ktk ujinga huu na sasa anawaongoza nyinyi kwenye huo ujinga.
  6. Gomvu

    JamiiForums Tanzania IKULU, DAR: Rais Magufuli afanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick Prof. John L. Thornton

    Wewe msikilize lisu, huyo ndie utakae muamini.
  7. Gomvu

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Upinzani walipuka bungeni, waimba wana imani na Mkapa, Kikwete

    Hahaahaaa, hawa jamaa inabidi uwe msukule kuwafaham,kwamaana kichwa chako kisiwe na uwezo wa kutuza kumbukumbu hata kwa dakika kumi , wanaimani na yule aliewaita malofa, wanaimani na mtu dhaifu! ! ! ! ! ? .
  8. Gomvu

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Upinzani walipuka bungeni, waimba wana imani na Mkapa, Kikwete

    Naona nyumbu matamko , matendo yenu, yanawapa taabu kuyaweka kwenye njia salama, nikama kubenea anayesutwa na machapisho yake.
  9. Gomvu

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Upinzani walipuka bungeni, waimba wana imani na Mkapa, Kikwete

    Kama wanamaana hiyo, basi wafahamu kuwa wanajikejeli wenyewe,
  10. Gomvu

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa ampongeza Rais Dr. John Magufuli

    Ushauri wangu kwa Nyumbu wakubwa kabla hawajasema jambo wakae meza moja wakubaliane la kusema .sababu wakati wabunge manyumbu wanawatupia mzigo CCM kwamba wao ndio walikua wakitoa sauti ndiooooo, antokea mamvi anasema linalo amuliwa ktk kikao hayo ni maamuzi ya wote, haijalishi ulipinga.
  11. Gomvu

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa ampongeza Rais Dr. John Magufuli

    Kwahiyo wewe unampongeza kwa kuficha makucha yake jakua ameyatumia vibaya! !!!!!????.
  12. Gomvu

    JamiiForums Tanzania Angekuwa yule mnadhani angefanya kama anayoyafanya huyu?

    Tulijua bila chembe ya shaka, aliyesema mamchanga hata hajatangaza nia, na ushahidi wa Video upo.
  13. Gomvu

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Rais Magufuli ndiye alipitisha mikataba Bungeni kwa "Ndio" za "Mia kwa Mia"

    Hata Lowasa na sumae wanahusika.
  14. Gomvu

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif afungua Ofisi Mpya za wabunge wa CUF Magomeni, Dar

    Lazima zipatikane office, ili tuwakamue wabunge maisha yaendelee.
  15. Gomvu

    JamiiForums Tanzania Mh.Tundu Lissu tunaomba utuache kwanza!!!Samahani saana

    Tumewapa lowasa.
Back
Top Bottom