James Mbatia: Rais Magufuli ndiye alipitisha mikataba Bungeni kwa "Ndio" za "Mia kwa Mia"

Magufuli na genge lake ndio walikuwa washangiliaji wakuu wa hizi sheria za madini.

Tena walikuwa radhi kumtolea lugha kali yeyote aliyezipinga.

Leo hii MAGUFULI anajifanya ametoka sayari nyingine, hajui hata kama yeye ni mmoja wa wahusika wa uchafu huu.

Ujinga sana, upuuzi sana!
Hata Lowasa na sumae wanahusika.
 
Kwa nini pale bungeni tusibadili hu utaratibu kupiga kura ya kupitisha mambo muhimu kama hii mikataba walio pitisha hawa vilaza wa ccm? Mana huu uturatibu wa ndioooo umetumiza sana
 
Namuunga mkono Mbatia kweli elimu ya kutosha itolewe kabla ya sheria kupelekwa bungeni ili makosa haya yasirudiwe,wabunge wajadili kitu wanachokifahamu siyo tena kama walivyofanya zamani kwamba wapitishe ilani ya Chama.

Kama Chenge na elimu yake amefanya hayo, najaribu kufikiria maji mapana na Jaa Watu itawachukua muda gani kuielewa hiyo elimu itakayotolewa, unless iwe ni special injection
 
Heshima kwenu wakuu,

Nlikuwa namsikiliza Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi akutoa maoni juu ya Report zilizotoka za Mchanga wa Madini.

Amesema Watanzania tuwe Watulivu na tujue Tanzania sio Kisiwa. Amepongeza nia nzuri ya Rais Magufuli.

Amesema kinachotakiwa sasa kabla ya Mambo yote, wabunge Wapewe Elimu ya Madini na Elimu ya Soko la madini ili tusirudie Makosa tuliyoyafanya.

Amesema kipindi Mikataba ya madini na Sheria zake zinapitishwa, rais Magufuli alikuwa bungeni na alipitisha sheria hizo asilimia mia kwa mia huku akishangilia. Hali hiyo imefanya wabunge kupitisha mambo mengi yasiyo faa hasa madini tangu 1998 hadi elfu 2010 na madiliko yote yalikuwa yanafanywa kwa jaziba.

Rais Magufuli alikuwa bungeni miaka 20 ambayo ndo sheria hizo zimepitishwa. Walikuwa wanajibu ndio tena kwa kushangilia. Hivyo haipendezi kama taifa turudi huko tena.

Wanasheria wetu wafanye kazi usiku na mchana kuangalia Sheria za Kimataifa zipoje na Sheria zetu zipoje

Rais ana nia njema, tujipe muda, tuwe watulivu.. Tusifanye tena kwa mihemko kama huko nyuma. Japo wanasema walifanya kwa nia njema.

Nasikia wabunge wanasema repoti hizi ni za upande mmoja, tujipe muda wa kusikiliza upande wa pili.

Tutumie nguzo tatu katika Wimbo wetu wa Taifa; Nguzo ya Hekima, Nguzo ya Umoja wa kitaifa na nguzo ya Amani ya Taifa letu kijiweka katika ramani ya dunia.


He has childish reasoning, and simple minded people may take his argument as true, himself were he has through what had he left, does it mean we can't listern to h now, you don't exploit many unschooled people just to push yo agenda, that is why many of u people can not be given a chance by the Almighty God to rule, because many of you behave more than yo capacity wen you are well below that.

It is our duty to help the president for the future generations.
 
Kimsingi kuanza moja si ujinga hao hao Ccm ndio waliopitisha mikataba hii sasa tuache tu huku tukiishia kusema ooh ndio hao hao? nadhani kujitathmini kisha tukachukua hatua kama taifa si dhambi ila dhambi ni pale tutakapoendelea kulaumu Ccm bila ya kuchukua hatua stahiki.
 
Angejiuliza maswali mengi zaidi kama, alipochangia kupitisha alipewa yapi kusoma na yakaonekana yapo sawa n.k.

Maswali haya nashangaa hawaukizwi wakuu wa mchi waliopita
 
Hawa ndo walipitisha mikataba kwa dharura leo ndo wanasema mibovu kweli wakina yuda wako wengi sanaaa
La maana ni kwamba wahusika wote bila ya kujali vyeo vyao vya zamani na sasa hata kama walikuwa Prezidaa wote ni jora moja wakamatwe
 
Ni upuuzi kudhani na kupuuza kinachofanyika sasa eti tu alikuwa bungeni kwa anayethubutu kuchukua hatua kuondoa unyonyaji.

Kwa usemi huu manake nikuwa Nyerere hakutakiwa kungwa mkono kuleta uhuru Tanganyika kwa sababu alikuwa amzaliwa tulipokuwa tukitawaliwa na wakoloni.

Mawazo dhaifu.sana haya. Tuwapuuze.
Mwache Baba wa Taifa mkuu.

Huo mfano uliotoa na kinachoongelewa hapa havina uhusiano kabisa.

Baba wa Taifa hapaswi kulinganishwa na kiongozi yeyote hapa nchini.
 
Namuunga mkono Mbatia kweli elimu ya kutosha itolewe kabla ya sheria kupelekwa bungeni ili makosa haya yasirudiwe,wabunge wajadili kitu wanachokifahamu siyo tena kama walivyofanya zamani kwamba wapitishe ilani ya Chama.

Rais wangu mimi nakuunga mkono kabisa ila kabla ya kumlaumu mwizi tujitathimini wenyewe je nyumba yetu imekuwaje mpka inaingiza mwizi? Pili hawa walinzi tuliowapa dhamana watulinde walikuwa wapi mpka tunaibiwa? Ingekuwa leo tu tumeanza kuibiwa ningesamehe hawa walinzi,lakini miaka 19 kweli hawajui kama kuna mwizi anatuibia?? Okey kama walijua walifanya juhudi gani kumjulisha mwenye nyumba kwamba kuna mwizi? BRELA?? TRA? Wapi Waziri wa mambo ya ndani? Wapi Wizara ya nishati na madini? Wapi wakuu wa mikoa na wilaya zenye hizo hazina? Wapi Wizara ya ulinzi na usalama?Wapi basi hata waziri wa mambo ya nje atushtue jamani mbona mnapigwa?? Na mamlaka zote zinazohusika?? Zote hizi zisigundue uozo uliopo kwenye madini?? Kama ni kweli basi sawa na msemo wako tumerogwa inabidi pepo litolewe!!

Mhhh mimi silaumu mwizi hata kidogo wenye makosa ni sisi wenyewe,mwizi huwa anaangalia wapi fursa ipo,mwizi adhabu yake huwa inajulikana wala haitajiki majadiliano ni Mahakama tu,na mahakama ikishindwa ni wananchi kujichukulia sheria mkononi,haya mambo si madogo ati!! Ndo yanafanya wenzetu huko DRC kugombana kila siku.

Rais umeyajua haya kabla ya kumpiga mwizi safisha nyumba yako kila kona kisha tuungane kumpiga mwizi wetu na wezi wengine wasije thubutu kuingia tena.
Ulinzi umpe Chenge,Karamagi,Ngereja unategemea nini
 
Sizonje alishiriki bara bara kwenye Mikataba ya madini tangu 1995 akiwa Sehemu ya Serikali kwenye Baraza la Mawaziri kama Waziri, Leo kuja kuianika Serikali aliyokuwa sehemu yake ni changa la macho. Maamuzi ya Serikali kuhusu Mikataba ya madini imefanyika yeye akiwa sehemu ya Serikali kama Waziri. Kama alikuwa na nia thabiti ya kukataa wizi angejiuzuru.
 
Ni upuuzi kudhani na kupuuza kinachofanyika sasa eti tu alikuwa bungeni kwa anayethubutu kuchukua hatua kuondoa unyonyaji.

Kwa usemi huu manake nikuwa Nyerere hakutakiwa kungwa mkono kuleta uhuru Tanganyika kwa sababu alikuwa amzaliwa tulipokuwa tukitawaliwa na wakoloni.

Mawazo dhaifu.sana haya. Tuwapuuze.
uwe unasoma kwanza unacho kiandika
 
kwa
wanamuonea bure chenge. Yeye alikuwa anatekeleza ilani ya ccm ya kuliibia taifa...
Ccm akiwemo magufuli ni wapumbavu sana kwa sababu haya yote ni sababu yao wote kwa umoja wao dhidi ya rasilimali za watz. Alafu wanaunda mitume kwa kuwapa ulaji wa bure watu wkt walipitisha haya yote kwa mbwembwe huku wakiwatukana watz matusi ya nguoni.
Shame on them ccm + their corrupt leaders
kwa hiyo we jamaa ulitaka nini kifanyike? hivi ukijibaini kuwa umefanya makosa ni dhmbi kujirudi?
 
Back
Top Bottom