Misplaced kule zanzibar ni balaa kaka CCM haina udini zaidi ya vyama vilivyobaki, mi nina wasi wasi na reluctance to take action, hatua madhubuti hazichukuliwi kukabiliana na haya machafuko,
Hongera. Tafuta mdada mzuri hapochuo mdenti uoe ili upunguze tamaa kwa wadogo zetu. Msalimie Mteketa Mbunge na Wape Pole kwa Msiba wa Mwenyekiti wa Halmashauri
Mi nadhani usubiri apate then utajenga case yako vizuri. Pia watu wapo wawili wawili huenda akawa ni pacha wake ambaye ana bachelor mkononi tayari. Hujafanya mi nadhani ulipaswa kumpiga picha ili utuonyeshe na wana jf ambao wamemaliza SUA wakusaidie kusubstantiate your allegations. Hujatuambia...
Kweli I agree 100% mzee wa Kibasila/Mkwawa. Mi nakamua 1.4 sasa ila kutwa kucha kwenye Daily News nacheki green pastures nikaendelee kupiga kazi za nguvu huku nikilipwa heavily. Hope ntacepa na first train nikipata green pastures new
Mengi ni Opportunist na Kigeugeu na Hana Msimamo. Mbona hasikiki tena akipinga ufisadi? Kale kakesi walimfungulia mahakama kuu wakamdai sh. 1000 ulikasikia. Ile ni dharau kubwa sana. Halafu akapata urahisi huyu jamaa atarithisha madaraka kwa watoto wake na kutupeleka kwenye vita. Angalia...
CHADEMA kushnei. Kumbuka NCCR. CHADEMA ni matumbo yao tu kila mmoja keshachoka. Alama ya V ni alama ya manati. Manati siku hizi hata ndege shorwe bwenzi huwezi mpiga. CCM ni Tembo. Ngoja 2015 tuone CHADEMA inavyopigwa vibaya. CCM Saaaafiiiiii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.